Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
- Thread starter
- #21
Kupitia CHAWA WA MAMA sioNdo maana napambana na mimi nilambe asali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupitia CHAWA WA MAMA sioNdo maana napambana na mimi nilambe asali
Hamna kosa.Ila wanasiasa wengine wakiwa na makazi nje ya nchi ndio kosa, sivyo?
Pambana na wewe utafute ya kwakoIla wanasiasa wengine wakiwa na makazi nje ya nchi ndio kosa, sivyo?
Acha stress "blaza" mimi sio maarufu kama hawa "wazalendo" wetu tunaogharamikia maisha yao kupitia kodi zetuPambana na wewe utafute ya kwako
Unadhani ni msoga hapo?Hapo NYC kweli?
Unadhani ni msoga hapo?
Unashangaa Rais kuwa na ntumba states???JK ana nyumba state? Mwanasiasa si mwenzio
JK ana nyumba state? Mwanasiasa si mwenzio
Hii ni tarehe 24/03/2023. Aweso na JK unawaona hapo Tanzania? Hujui waliko kwasasa?Siyo Kawe Beach hapo?
Hii ni tarehe 24/03/2023. Aweso na JK unawaona hapo Tanzania? Hujui waliko kwasasa?
JK ni mmarekani huyo, ni kama yuvisisiemu wanavyomuita Tundu Lissu mberigijiNyumba ni kitu gani, mwenzako amekuwa Waziri kwa miaka mingi, amekuwa Rais kwa miaka 10, jamani mambo mengine ni madogo sana kuuliza au kushangaa.