Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

Mkuu, Hivi umekusudia kutuonyesha birthday party ya Uweso au umekusudia kutujulisha kwamba JK anayo nyumba New york au kuna kitu kingine kimejificha katika hizo picha ndicho msingi wa hii mada yako!??, kwasababu Birthday party sio jambo la ajabu sana wala sio ajabu kwa mtu kama JK kwa hadhi yake kuwa na nyumba Ulaya na hata sehemu yoyote ya dunia.

Kwann awe na nyumba huko huku akituhimiza uzalendo
 
Usikute hata wana uraia pacha hawa. Hawa si wenzetu.
Wanasiasa wote ni washenzi tuu ,haipaswi kutumia mda wako eti kumtetea mwanasiasa,ajitete mwenyewe maana ndio anafaidi..

Kiufupi kama unanufaika nae mtetee kinyume na hapo unakuwa mpumbavu..

Si umeona kina Lisu ,Lema,Nyalandu nk wote familia zao ziko Nje ya Nchi eti wanakuja kujifanya wanawapigania , rubbish
 
Back
Top Bottom