Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

IMG_1320.jpg

The Benjamin hotel New york
 
Tena waambie huko us $200,000 tu unapata nyumba
Mbona huku bongo unakuta mbweni huko mtu kajenga nyumba kagaramia
Mln 600,000
Sasa ukirudi kwa jk urais wote atashindwa kweli kumiliki mjengo usa

Ova
Viwanja tuu huko maeneo Cha bei ya chini ni mil.100
 
Ujinga na ushamba wa Watzn ,maana wengi wao hata kusafiri ndani ya Mkoa tuu ni shida

Roho mbaya ya watanzania, hakuna ajabu mtu kama JK kumiliki nyumba marekani , mbona hata lowasa ana nyumba huko, ni kawaida sana na sii hao tu , viongozi wengi wana nyumba marekani hata VP wa sasa ana nyumba State na alinunua akiwa benki ya dunia
 
Ni kweli, ila sa kwanini unatamani kuwa na ukwasi kama yeye why?
Sitamani kuwa tajiri ila kuwa na pesa za kukidhi mambo ya msingi maana hata nikiwa na mapesa mengi mwisho wa siku sijaona kama ni big deal sana hasa Kwa mtu kama mie ambae sinywi pombe sitoweza kufaidi hizo pesa nyingi..

Uzuri wa Jk Kwa kuwa ana pesa ila ana majukumu ya Kimataifa nk so anapata pa ku spend na kupata credit zaidi..

Na pia raha ya hayo mapesa uwe unatumia Kwa wahitaji nk kama unavyoona Mo anafanya ndio inakuongezea value ila ukikaa nayo tuu unarundika hakuna thamani ya maisha utaiona..
 
Back
Top Bottom