Kupanga ni kuchagua...Marehemu Baba wa Taifa Nyerere, alikuwa na Nyumba Marekani ??...[emoji57][emoji848]
Jakaya kuchagua Nyumba Newyork na Nyerere alichagua kujenga heshima
Akina Madaraka wamerithi Heshima ya kuwa watoto wa Baba wa Taifa na kina Ridh wamerithi Ubunge kama Baba, Unaibu kama Baba, na mwakani Mungu akipenda watarithi Uwaziri na pengine 'panapo majaaliwa ' watarithi Uenyekiti wa Ccm Taifa kabla ya kurithi majumba ya Newyork mbele ya safari
Akina Madaraka wao si kila kwny sherehe za kuzima Mwenge wanaalikwa kumuenzi. muasisi wakiwa na Sare za mashati ya vitenge uwanja mzima