HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Marekani kuna nyumba bei rahisi kuliko za TanzaniaMarekani hata mtanzania mwenye mln 300,400 Ana nunua nyumba huko
Akitaka
Ova
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marekani kuna nyumba bei rahisi kuliko za TanzaniaMarekani hata mtanzania mwenye mln 300,400 Ana nunua nyumba huko
Akitaka
Ova
Inategemea na state.Marekani kuna nyumba bei rahisi kuliko za Tanzania
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Alojengewa na Magu.Lile alojengewa na Magu au ni jingine tu?
KamfufueNatamani angekuwepo yule mwamba.kwenda marekani kama wanaenda pangani vile
Hata kama Mwalimu angekuwa na nyumba Marekani, ulitaka akwambie, pia Mwalimu sio kila mtu alikubali philosophy yake kisiasa....Marehemu Baba wa Taifa Nyerere, alikuwa na Nyumba Marekani ??...[emoji57][emoji848]
bei Nafuu kuliko za Chanika au Mbagala kingugi?Marekani kuna nyumba bei rahisi kuliko za Tanzania
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Umeongea category mbili tofauti kabisa, umeshasema Bill Gates/Aliko Dangote, hawa billionaires kwa uwekezaji waliofanya duniani kote. Huyu alikuwa mtumishi/mwajiriwa wa wananchi, manake aliibia taifa hadi kufika hapo.kuna watu sijui niwaite washamba au wajinga?
hivi Business partner wa Bill Gates na Alhaj Aliko Dangote kumiliki Nyumba Barani Amerika kaskazini ni issue ya kustua?
Sio hotelini?Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.
NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula mezani. Serikali haina shamba
View attachment 2565319
View attachment 2565320
View attachment 2565321
Mpigie simuMimi nimeuliza kuhusu Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ili nipewe uhakika wa swali langu.
Nani amevujisha hizi picha!?haya ni mambo ya kifamilia zaidi,ujinga tuuweke pembeni...Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.
NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula mezani. Serikali haina shamba
View attachment 2565319
View attachment 2565320
View attachment 2565321
Kwake kabisaSio hotelini?
Anaishi kwa kodi za watanzania huyu, ni muhimu wananchi wakajua matumizi ya kodi zaoNani amevujisha hizi picha!?haya ni mambo ya kifamilia zaidi,ujinga tuuweke pembeni...
Kweli, mimi naamini Nyerere kafa na pesa nyingi tu, hakuna Rais hana pesaHata kama Mwalimu angekuwa na nyumba Marekani, ulitaka akwambie, pia Mwalimu sio kila mtu alikubali philosophy yake kisiasa.
Nyumba ni kitu gani, mwenzako amekuwa Waziri kwa miaka mingi, amekuwa Rais kwa miaka 10, jamani mambo mengine ni madogo sana kuuliza au kushangaa.
Miaka kadhaa iliyopita, hakuna mtu aliyekuwa anatamani kuonekana na JK wa pili.
Unaweza kudhani walikatazwa nà yule mzee, wote walikuwa wakiziponda tawala zilizopita, sana sana utawala wa JK. Huyu mzee alikuwa mvumilivu sana.