Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

kuna watu sijui niwaite washamba au wajinga?

hivi Business partner wa Bill Gates na Alhaj Aliko Dangote kumiliki Nyumba Barani Amerika kaskazini ni issue ya kustua?
Umeongea category mbili tofauti kabisa, umeshasema Bill Gates/Aliko Dangote, hawa billionaires kwa uwekezaji waliofanya duniani kote. Huyu alikuwa mtumishi/mwajiriwa wa wananchi, manake aliibia taifa hadi kufika hapo.

Siasa ni career inayolipa kuliko, ndio maana kina Zitto wakaachana na uchumi waliosotea vyuoni kujiingiza kwenye siasa, maprof kibao wameacha kushika chaki wakaingia siasani. Futseke zao!
 
Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.

NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula mezani. Serikali haina shamba

View attachment 2565319

View attachment 2565320
View attachment 2565321
Nani amevujisha hizi picha!?haya ni mambo ya kifamilia zaidi,ujinga tuuweke pembeni...
 
Kusema kweli JK ni mzungu. Ni kwanini upende kuumia bila sababu za msingi na kuumiza wengine? Mimi nilikuwa nikimtizama tangu alipoanzisha zile hotuba za mwisho wa mwezi. Alinivutia na imeendelea kuwa ivyo.

Mtu wa miaka 70+ tukimwangalia sie wa miaka 30 tunaona aibu. Exposure aliyonayo tukiichukulia in a positive side inaweza kutufungulia mengi kama Taifa. He is a Fare Guy.

Lets be fare to him so as we can enjoy his Talents and Gifts, mana miaka 10 ile nahis hatukuenjoy vya kutosha.
 
Sio madogo, mishahara ya mawaziri nchi hii inajulikana.
Nyumba ni kitu gani, mwenzako amekuwa Waziri kwa miaka mingi, amekuwa Rais kwa miaka 10, jamani mambo mengine ni madogo sana kuuliza au kushangaa.
 
Back
Top Bottom