Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann awe na nyumba huko huku akituhimiza uzalendo
Sasa Nyerere si ni mwanakijiji na mjima yule,yeye atakula na kulala Kijamaa 😀😀Ulisikia Nyerere ana nyumba nje ya nchi?
Viwanja tuu huko maeneo Cha bei ya chini ni mil.100Tena waambie huko us $200,000 tu unapata nyumba
Mbona huku bongo unakuta mbweni huko mtu kajenga nyumba kagaramia
Mln 600,000
Sasa ukirudi kwa jk urais wote atashindwa kweli kumiliki mjengo usa
Ova
Ujinga na ushamba wa Watzn ,maana wengi wao hata kusafiri ndani ya Mkoa tuu ni shidaWatu wana hasira kweri kweri [emoji1]
Wanaona ajabu jk kuwa na nyumba usa
Mbona kitu cha kawaida sana hicho kwa jk
Ova
Kweli mkuu, ingawa alikuwa IMF kabla ya kuja BOT, Prof. Benno Ndulu alikuwa na nyumba yake USA pia.Kama AY ana nyumba marekani atashindwa mtu aliyekua rais kwa mipaka kumi kwa mshahara wa 45m kwa mwezi!?..kabla ya hapo alikua waziri tangu 1993-2005
We endelea tu na "tunakuheshimu," mwenzako ana nyumba states, yaani United States of America.Father jk tunakueshimu sana
.......
No one like you father hope ungekua rais tena.....
Huyo kwa mshahara wake tu ashindwi kuwa nayo hukoWalamba kodi zetu
JK ana nyumba state? Mwanasiasa si mwenzio
Ujinga na ushamba wa Watzn ,maana wengi wao hata kusafiri ndani ya Mkoa tuu ni shida
Sitamani kuwa tajiri ila kuwa na pesa za kukidhi mambo ya msingi maana hata nikiwa na mapesa mengi mwisho wa siku sijaona kama ni big deal sana hasa Kwa mtu kama mie ambae sinywi pombe sitoweza kufaidi hizo pesa nyingi..Ni kweli, ila sa kwanini unatamani kuwa na ukwasi kama yeye why?
...Marehemu Baba wa Taifa Nyerere, alikuwa na Nyumba Marekani ??...[emoji57][emoji848]Nyumba ni kitu gani, mwenzako amekuwa Waziri kwa miaka mingi, amekuwa Rais kwa miaka 10, jamani mambo mengine ni madogo sana kuuliza au kushangaa.