Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mazoezi ni muhimu
Mazoezi ni Afya

Mhesh Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto leo Februari 7, 2021 ameshiriki mazoezi pamoja na Mumewe Wakili Gwajima.

FB_IMG_16127155185483980.jpg
FB_IMG_16127155117757073.jpg
FB_IMG_16127155266035056.jpg
 
Nimezitama hizo picha na kugundua haya:

1. Lengo sio kufanya mazoezi, lengo hapo ni kupiga picha. It is a staged photo.
2. Muonekano unaonyesha kuwa sio watu wa mazoezi.
3. Body language inaonyesha hawana ule muunganiko wa kimapenzi baina ya mke na mume au mtu na rafiki yake wa
karibu. Hakuna chemistry baina yao.
4. Mama inaonekana anamburuza mwenzake.

HITIMISHO LANGU.
Uhusiano wao huenda una shida kubwa mahali fulani na hili ni jaribio la kutafuta kufunika shida isije ikaonekana.

USHAURI WANGU KWA DR. GWAJIMA
-Achana kabisa na mtindo wa maisha yako binafsi kuyaleta mbele ya kamera, gharama yake ni kubwa huko mbele ya safari.

-Ukiamua kuwa mwanasiasa basi jifunze kuishi kama mwanasiasa. Usitamani kuishi kama mtu maarufu wakati bado unajifunza kuwa mwanasiasa.
 
Enzi za utawala wa JK ilikua ni ngumu sana kuwaona Mawaziri na famikia zao wakiuza sura. Jamaa walikuwa busy kupiga zao madili! Ni mwendo wa kusaini tu cheque, mikataba na Mabeberu, baaasi!

Sasa hawa wa sasa, kazi yao ni kujirekodi tu ili kumfurahisha aliyewateua.
 
Back
Top Bottom