Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Nimezitama hizo picha na kugundua haya:

1. Lengo sio kufanya mazoezi, lengo hapo ni kupiga picha. It is a staged photo.
2. Muonekano unaonyesha kuwa sio watu wa mazoezi.
3. Body language inaonyesha hawana ule muunganiko wa kimapenzi baina ya mke na mume au mtu na rafiki yake wa
karibu. Hakuna chemistry baina yao.
4. Mama inaonekana anamburuza mwenzake.

HITIMISHO LANGU.
Uhusiano wao huenda una shida kubwa mahali fulani na hili ni jaribio la kutafuta kufunika shida isije ikaonekana.

USHAURI WANGU KWA DR. GWAJIMA
-Achana kabisa na mtindo wa maisha yako binafsi kuyaleta mbele ya kamera, gharama yake ni kubwa huko mbele ya safari.

-Ukiamua kuwa mwanasiasa basi jifunze kuishi kama mwanasiasa. Usitamani kuishi kama mtu maarufu wakati bado unajifunza kuwa mwanasiasa.
ni assumptions zako tu.usilolijua ni usik wa kiza huend wanapendana sana
 
unasahau kwamba yeye ni kiongoz na anahitah
jika kuhamasisha mazoez. ni saihi kwa hali ya sasa mazoez ya kuchoma oxygen ni muhim.oxidation aerobic na vitu kama hivo.
hapo anahamasisha kama kiongoz
Kiongozi nime kuelewa next time muwe na maji mkononi pia!
 
Poa poa muda huu yupo ana download Snapchat mta mkoma!
Jaribu kusema kwa ile sauti yake asalaamu leko bwana yesu asifiwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom