Safiiii haaa, couple nzuri sana hii, wanafanana alafu kama twins.. Ila Field Marshal mie namkubali. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hapa Mh. Rais kapata jembe kweli kweli.. Hapa ndio utajua kumbe Ummy ilikuwa sio kabisa ktk wizara hii ya Afya, hakuenea, maana Field Marshal anashuka jumla jumla, alafu Katibu Mkuu Wizara ya Afya ni Prof Mchembe, yaani vichwa vitupu, wizara imenyooka hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nawaza hii couple mume lazima atakuwa submissive tu kwa Field Marshal..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]