Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Kwa wale msiojua wanaume wakisukuma msimshangae huyo wakili. Ni watu wapole na hawana papara. Wanachukulia poa mambo mengi hasa kwa wake zao. Ni wapole kijumla na wasikivu. Wanajari pia. Ni wazur kuendeshwa na wake zao. LAKIN MKE ASIOMBE MSUKUMA AMLIPUKIE! Maamuz yote magumu yasiyofikirika wala kutarajika atayashuhudia ana kwa ana siku hiyo. Wanalipuka vibaya mno. Akiondoka kimya kimya na kuacha kila kitu mke ana bahat huyo.
 
Tofautisha vetting na betting mkuu. Kinachofanyika Tanzania ni betting.
 
Hayo ni kwa mujibu wa maoni yako na fikra za wabongo..siku alipomtaja mume wake kama mpenzi wake bungeni bila kuwepo mliponda sana..leo yupo nae bado mnasema ooh hawana mahusiano mazuri..unajua wana muda gani katika mahusiano yao?? Unajua kanuni walizojiwekea katika mahusiano yao..? Kwani mtu kumsapoti mwenza wake katika kampeni yoyote ni dhambi.?

Unaposema sio watu wa mazoezi umeshawahi ona motion ya gwajima? Ukimcheki huyo mshua unaona kabisa yupo fit..kwa watu wa umri wao na maradhi ya sasa wasingekuwa hivyo.

Wabongo wanatatizwa na chuki, wivu na nongwa..ndio maana hamuishi kupata radhi.
 
Wewe mama wa nyumbani au muajiriwa unamishe yako kama mnavyosema wenyewe, unachakarika kuna leo kuna kesho siyo ?
Mama wa nyumbani yupoje! Acha dharau unajua kutunza familia nikazi kubwa sana kuliko mhudumu wa ofisi anayeshinda na makaratasi kuliko mke nyumbani watoto 3, uhakikishe kila kitu kinaenda na baba yao pia, mie kama kazi ya kuajiriwa au kujiajiri Mme lazima anipe mshahara
 
Wake zao wabovu hawana elimu wala mbele na nyuma hata wanaume wanaomponda wana cv mbaya tu hawajamkuta huyo mother kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuwaulize lini wameongozana na wake zao hata kariakoo! Ukifika majumbani mwao wake utazani house girl haaa haaa, kuna baba alikuwa na duka lake sasa alikuwa na manato kweli, sasa wakapita mastaff wenzie dukani wakamkuta mkewe haaa haaa, siku nyingine wanamuuliza tulipita dukani tukamkuta mfanyakazi wako mamaaaa weeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wanataka wanawake ambao hawajasoma ili wawaburuze Kama wajinga.
Waliosoma wanajitambua,hawaburuzwi kizembe.
Wakawaburuze shangazi zao na dada zao, siku hizi hata aliyeishia form four haburuzwi hovyo akikaa vibaya hata mabanzi anapewa
 
Sasa cha ajabu ummy mtaalamu wa sheria ila alihudumu vizuri wizara ya Afya, huyu mtaalamu wa Afya wizara husika inamleta tafrani lol.
Jamani mama Dorothy hata miezi 6 bado daa wabongo hapana mnamambo kweli
 
Nilikuwa simjui Mr wake

Ila kwa mwonekano jamaa anakaa tu hamna namna

Hapa kinahitajika Chama cha Wababa Tanzania (CHAWABATA)

Jamaa inaonesha kabisa kawekwa mtu kati
jamani kumbe hamjui sanaa ya ndoa, ukiona mtu mnyonge machoni ujue ndani ana nguvu sana, and vice vesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…