Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakawaburuze shangazi zao na dada zao, siku hizi hata aliyeishia form four haburuzwi hovyo akikaa vibaya hata mabanzi anapewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Hujajibu swali nililo kuuliza.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna goti fulani kalipiga hapo wakati anampa mmewe glass ni goti la maigizo sio la kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nadhani pia anatuma message tofauti kwa watu tofauti,Kuna michepuko,ndugu wa mume pia wanatumiwa ujumbe indirectly

Aah ila mama anajua kuchamba hatariii,ni wale watu wenye nongwa
 
Ukiona mke na mume wamevaa sare ya kitenge ujue mwanaume hana sauti hapo!!jamaa anatia huruma hatari
 
Ushauri mzuri ninaamini jf kila mtu anaitumia ko hili amelipokea
 
Shikamoo
 
Hivi ule mtambo wa kujifukiza bado upo pale Muhimbili?
Ile dawa ya kujifukiza iliyogunduliwa pale UDSM ipo?
Je ile ya NIMR?
Maana hawa wataalamu hawaziongelei tena wamebaki na swala moja tu, CHANJO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…