Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuwaulize lini wameongozana na wake zao hata kariakoo! Ukifika majumbani mwao wake utazani house girl haaa haaa, kuna baba alikuwa na duka lake sasa alikuwa na manato kweli, sasa wakapita mastaff wenzie dukani wakamkuta mkewe haaa haaa, siku nyingine wanamuuliza tulipita dukani tukamkuta mfanyakazi wako mamaaaa weeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama wa nyumbani yupoje! Acha dharau unajua kutunza familia nikazi kubwa sana kuliko mhudumu wa ofisi anayeshinda na makaratasi kuliko mke nyumbani watoto 3, uhakikishe kila kitu kinaenda na baba yao pia, mie kama kazi ya kuajiriwa au kujiajiri Mme lazima anipe mshahara
Hujajibu swali nililo kuuliza.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna goti fulani kalipiga hapo wakati anampa mmewe glass ni goti la maigizo sio la kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nadhani pia anatuma message tofauti kwa watu tofauti,Kuna michepuko,ndugu wa mume pia wanatumiwa ujumbe indirectly

Aah ila mama anajua kuchamba hatariii,ni wale watu wenye nongwa
 
Ukiona mke na mume wamevaa sare ya kitenge ujue mwanaume hana sauti hapo!!jamaa anatia huruma hatari
 
Nimezitama hizo picha na kugundua haya:

1. Lengo sio kufanya mazoezi, lengo hapo ni kupiga picha. It is a staged photo.
2. Muonekano unaonyesha kuwa sio watu wa mazoezi.
3. Body language inaonyesha hawana ule muunganiko wa kimapenzi baina ya mke na mume au mtu na rafiki yake wa
karibu. Hakuna chemistry baina yao.
4. Mama inaonekana anamburuza mwenzake.

HITIMISHO LANGU.
Uhusiano wao huenda una shida kubwa mahali fulani na hili ni jaribio la kutafuta kufunika shida isije ikaonekana.

USHAURI WANGU KWA DR. GWAJIMA
-Achana kabisa na mtindo wa maisha yako binafsi kuyaleta mbele ya kamera, gharama yake ni kubwa huko mbele ya safari.

-Ukiamua kuwa mwanasiasa basi jifunze kuishi kama mwanasiasa. Usitamani kuishi kama mtu maarufu wakati bado unajifunza kuwa mwanasiasa.
Ushauri mzuri ninaamini jf kila mtu anaitumia ko hili amelipokea
 
Wataalamu wa afya ya akili wanasema yule mama yetu ana dalili zote za kichwa chake kupata moto, kama sio kichaa cha kurithi basi kichaa cha msongo wa mawazo ya kimaisha ndio kinakuwaga vile.

Yote kwa yote kwa sasa nasikia yupo kwenye tiba(sina uhakika), hopeful atatulia fresh.

Mtu yoyote inaweza kumpata hiyo hali, hivyo tusimlaumu yeye. Shida iko kwa yule aliyemteua, vetting haikufanyika fresh, maana wangefukua mafaili ya afya yake ya akili yamkini wangeona kitu na kuepusha taifa kwenye hii kadhia.

Kama huamini hayo, jipe muda utakuja hapa hapa JF kurejea. It is a serious matter. Kile kichwa ni mental case!
Shikamoo
 
Hivi ule mtambo wa kujifukiza bado upo pale Muhimbili?
Ile dawa ya kujifukiza iliyogunduliwa pale UDSM ipo?
Je ile ya NIMR?
Maana hawa wataalamu hawaziongelei tena wamebaki na swala moja tu, CHANJO
 
Back
Top Bottom