masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Sasa kazi ikikushinda si utaibiwa tu?Hospital za binafsi ni wezi , wezi , wezi wakubwa , siku zoto wanabambikizia bili watu wenye bima . Ukiwa medical personel utagundua wanavyowaibia walala hoi.. Tatizo ni serikali kutokuwa na chombo kinachowafuatilia . Kama huamini nenda hospital tatu ukawaambia una tatizo fulani , utaona unavyobambikiziwa vipimo vikumba visivyo na tija ili ulipe hela nyingi
Enhee...inatumikaje?Nadhani wewe Huna kadi ya NHIF Huna clue yeyote ile ya process ya kutumia hiyo card.
Taizo kubwa limetengenezwa!Tatizo lishatengenezwa...
Sasa subiri muda si mredu watatoka na tamko la kuwapa ujiko...
Sasa hivi watu wanachangia au wanakatwa misgahara halafu hela hairudi kwa walengwa kwa matibabu.Kama vipi kujiunga NHIF iwe jambo la hiyari kwa watumishi.
Ndio maana hospitali binafsi wamesuggest wagonjwa wenye NHIF waende hospitali za serikali.Pana mawili hapa,kutofautiana bei NHIF wana bei zao ambzo kwa hospital binafsi haziwalipi kurejesha gharama ya manunuzi ya dawa,.au NHIF hawazilipi hospital binafsi pesa kwa wakati
Huyu Waziri Ummy anashindwa kuharmonize eneo lake la kazi.Shida ni serikali mbona kampuni zingine za bima hawana nao shida hizo
Ummy arudi kuwa mbunge wa kawaida.
Hospitali binafsi ni jipu. Mgonjwa unapewa dawa nyingi zingine hata hazihitajiki lengo wao ili wapige pesa.View attachment 2921272
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu
Sakata la Hospitali binafsi kuingia mgogoro na NHIF juu ya huduma itolewayo na NHIF kutokidhi gharama halisi ilinaendelea kurindima.
Kinachojitokeza ni kwamba srikali, hasa Wizara ya Afya inaonekana kulega ega katka sekta inyoisimamia.
Waziri wa Afya hatujamsikia akitoa neno katika swala hili. Wagonjwa watadhurika, na wengine kupoteza uhai, huku wavaa tai wakilumbana.
Umahiri wa kisiasa wa Ummy Mwalimu sasa ndio unatakiwa uonekane, kuwasaidia watanzania, hasa wale walio vitandani mahospitalini na wanaougua.