Waziri wa Afya kazi imemshinda tishio la Hospitali binafsi kuikataa NHIF

Waziri wa Afya kazi imemshinda tishio la Hospitali binafsi kuikataa NHIF

Wenyewe wamalizane huko huko sie tunatak huduma pesa wanakata kwahiyo wapambane tu ila ila wafike mwisho
 
Hospital za binafsi ni wezi , wezi , wezi wakubwa , siku zoto wanabambikizia bili watu wenye bima . Ukiwa medical personel utagundua wanavyowaibia walala hoi.. Tatizo ni serikali kutokuwa na chombo kinachowafuatilia . Kama huamini nenda hospital tatu ukawaambia una tatizo fulani , utaona unavyobambikiziwa vipimo vikumba visivyo na tija ili ulipe hela nyingi
Wajinga kama wewe ni mzigo kwa taifa
 
Inasemekana majizi baada ya kukaziwa na serikali yameona bora yakubali yaishe.
 
Nhif ni saccos wanakopeshana wao KWA wao na ni benki pia wanakopesha taasisi za umma hata serikali kukuu hujichotea hela.
 
Back
Top Bottom