NOKIALUMIA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 396
- 278
Sio serikalin tu hata private kuna usengMkuu hayo.mambo ni hospital karibu zote za serikali pale Buguruni hospital ya PLAN ukienda usiku huwezi mkuta daktari na hata ukimkuta atakupa panadol kisha atakuambia njoo kesho.
Kwa utaratibu kama amepata dharura angempigia simu mkubwa wake ili badala yake awepo kazini. Usicheze na maisha ya watu mkuu. Uhai haununuliwi na hawa watu walisema kwa kodi zetu.Daktari pia ni binadamu je mlifuatilia nini kilichokuwa nyuma ya tukio hadi kumfanya asiwepo hapi ? Tafakari hayo!
Unawahi kutafuta usafiri uwahi hospitali kumbe unawahi kukaa kwenye ma bench.Hispitali nyingi za serikali huduma zao za usiku ni tatizo
Sio serikalin tu hata private kuna useng
Upo sahihi kabisaUkipata emergency kwa hapa Dar nenda Muhimbili Upanga au Muhimbili Mloganzila. Hizo sehemu 2 ndio zimekamilika kwa huduma 24/7 na ukifika tuu unahudumiwa fasta fasta.
Huko kwingine logistics nyingi hazijakamilika, hata tukiwalaumu wahudumu tutakuwa tunakosea.
Ukipata emergency kwa hapa Dar nenda Muhimbili Upanga au Muhimbili Mloganzila. Hizo sehemu 2 ndio zimekamilika kwa huduma 24/7 na ukifika tuu unahudumiwa fasta fasta.
Huko kwingine logistics nyingi hazijakamilika, hata tukiwalaumu wahudumu tutakuwa tunakosea.
Gharama ni za kawaida sema kwa kuwa kuna kila kipimo ndio maana huwa watu tunaona ni gharama kubwa lkn kumbe ni kwa sababu kuna kila kitu.Ila pochi iwe njema..
Kweli kabisa dada,karibia nipoteze mke kwenye bench[emoji27][emoji29][emoji26]Unawahi kutafuta usafiri uwahi hospitali kumbe unawahi kukaa kwenye ma bench.