Waziri wa Afya, nenda tena Hospitali ya Mwananyamala

Waziri wa Afya, nenda tena Hospitali ya Mwananyamala

Mkuu hayo.mambo ni hospital karibu zote za serikali pale Buguruni hospital ya PLAN ukienda usiku huwezi mkuta daktari na hata ukimkuta atakupa panadol kisha atakuambia njoo kesho.
Sio serikalin tu hata private kuna useng
 
Daktari pia ni binadamu je mlifuatilia nini kilichokuwa nyuma ya tukio hadi kumfanya asiwepo hapi ? Tafakari hayo!
Kwa utaratibu kama amepata dharura angempigia simu mkubwa wake ili badala yake awepo kazini. Usicheze na maisha ya watu mkuu. Uhai haununuliwi na hawa watu walisema kwa kodi zetu.
 
Ukipata emergency kwa hapa Dar nenda Muhimbili Upanga au Muhimbili Mloganzila. Hizo sehemu 2 ndio zimekamilika kwa huduma 24/7 na ukifika tuu unahudumiwa fasta fasta.

Huko kwingine logistics nyingi hazijakamilika, hata tukiwalaumu wahudumu tutakuwa tunakosea.
 
Upo sahihi kabisa
 
Akifika hapo awatembeze bakora tu labda kitaeleweka

Ova
 
Ila pochi iwe njema..
Ukipata emergency kwa hapa Dar nenda Muhimbili Upanga au Muhimbili Mloganzila. Hizo sehemu 2 ndio zimekamilika kwa huduma 24/7 na ukifika tuu unahudumiwa fasta fasta.

Huko kwingine logistics nyingi hazijakamilika, hata tukiwalaumu wahudumu tutakuwa tunakosea.
 
Huduma za afya/umma Bongo sehemu nyingi zina kwikwi...
 
Madaktari kipindi kile waligoma kutokana na maslahi duni na kukosa vifaa kwa ajili ya shughuli zao, na kuna watu humu hadi wanathubutu kusema watumishi wapunguziwe mishahara yao au wapunguzwe ili kushusha wage bill, wengine wanasema watumishi wajiajiri kwenye miradi kwamba mishahara kamwe haitoshi. Haya sasa, na sisi tupunguze kulalamika, inawezekana daktari alikuwa ameeenda kufunga hesabu kwenye genge lake la nyanya linalomwingizia kipato cha ziada...
 
Back
Top Bottom