Waziri wa Afya Oman: Asilimia 18% ya wasafiri wanaotokea Tanzania wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, tunafikiria kusitisha safari za ndege

Sisi hata mapapai na mbuzi tumekuta Yana Corona,Ngoja kidogo chato Capitol Hill itupe msimamo
 
Wapimwe kwa kutumia vioimo vipi?Maana mkuu alishasema vipimo vyote ni feki kwahiyo vinaonesha majibu yasiyo sahihi hivyo kutupilia mbali zoezi la upinaji tangu April mwaka jana
Tunahitaji mkono wa MUNGU wenye nguvu kuingilia hii hali lasivyo tutahangaika sana
 
Taarifa zilizopo ni kwamba huwa wanapimwa ila huwa wanapewa majibu ya uongo!Yaani unapigwa dola 100 kupima Corona ambayo utaambiwa huna hata kama unayo.
Sasa wanafanya hivyo kwa faida ya nani jamani? Huko si kukumbatia bomu? Ee MUNGU aliyeturoga nani, mbona tunakuwa kama Wagalatia 3:1?
 
Oman wako serious na hili gonjwa...kwangu nawaona wako sawa kufungia ndege za kutoka tz. Fungaaaaaa fungaaaaa
 
Jamani chanjo ije mwenye kutaka kupata aruhusiwe tu. Maana hali za afya. Mungu tusaidie tu
 
Na wewe pia nakuweka kwenye kundi la great thinker maana umefafanua vizuri sana
 
Usijifanye mjuaji saana kuliko rais mwenye reliable source of information..... Na pili hujumuelewa anachosema mpaka na sisi tujiridhishe kwani hujui Kuna chanjo tofauti tofauti?? Unadhani wanazo chanja wao ndizo za kwetu??
Msipende kupinga pinga tuuu tulieni muelewe akili kubwa ya Rais.
Unasemaje mwaka Jana na man lockdown yao ?? Yalisaidia nn ukilinganisha na sisi?
 
Baba Jay rose ahhh source zake waziri wa afya Gwajima mama wa kula matunda 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 haya wanamzika makamu wa Rais Zanzibar
 
Huu ni upumbavu sio ujinga, nenda Hosp kaone watu wanavyopigania maisha yao kwa akili za kijinga hawa viongozi.
 
Mwaka Jana, majbu mliyapata pamoja yakwamba hatukutoa twakwimu lakini ushahidi wa uhalisia mtaani kwenu mnaujua kwamba waliondoka wangapi??
So far mnamajibu Nani alikua na akili kwenye kupambana na Corona . Kama we Ni mtoto wa utakua na familia sio Kila kitu uige ige have your own ways to solve tatiso au tumia ile iliyoonesha mafanikio.
Magufuli did the best kwa wakati wake and I praise God for him
 
Baba Jay rose ahhh source zake waziri wa afya Gwajima mama wa kula matunda 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 haya wanamzika makamu wa Rais Zanzibar
Nadhani mnaweza kujichagulia nchi yakwenda mkapambana vizuri na Corona ila Mimi nitabaki na Magu maaana amepambana the best kwakumuamini Mungu kupitia herd immunity kulingana na hali zetu kiuchumi na kijamii
 
Baba mask sio Kinga ya Corona, ingekua hivo wenzetu huko mbele wasingekufa....! Mbona mnakua malimbujeni?? Inamaana ma profesa na matajiri waliokufa woote hawakuvaa barakoa??
 
Nadhani mnaweza kujichagulia nchi yakwenda mkapambana vizuri na Corona ila Mimi nitabaki na Magu maaana amepambana the best kwakumuamini Mungu kupitia herd immunity kulingana na hali zetu kiuchumi na kijamii
Baba Jay naomba usitumie jazba tumia busara tu, mimi siungi mkono lockdown hapana na heard immunity nikutoa kafara baadhi ya watu sasa Mungu aepushe isiwe watu wako au unaowajua kuwa kafara ya heardy immunity. point hapa ni serikali kuwaambia watu ukweli corona ipo hatari cha kufanya ni kuzuia mikusanyiko isiyo ya lazima na kama inabidi kuwepo na mikusanyiko ni kuvaa barakoa, distance na kunawa mikono na mifano ingeoneshwa na viongozi katika mikutano yao, sio kwamba ingemaliza huu ugonjwa ila ingepunguza maambukizi mtu kwa mtu. uimara wa afya yako sio uimara wa mwingine. Ni hali ya kukiri ugonjwa na tahadhari sio aibu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…