magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Ndio unasema uongo.Watakuwa wanatumiwa tu na mabeberu waarabu koko hao.
Hizi ni chuki tu za mabeberu kwa kipenzi cha Mungu Dkt JPM.
Watakuwa wanatuonea wivu tu kwa kuwa tuko uchumi wa kati.
Au nasema uongo ndugu zangu?