pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Dah mabeberu wametupania kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo ya hovyo kabisa! Shame!Tanzania tunakiri corona ipo. Hata Abas kashaliweka sawa. Ila tunatofautiana namna ya kukabiliana nayo. Sisi kama nchi hatuko tayar kwa chanjo ambayo haijafanyiwa uhakiki wa kutosha. Hatuko tayar kwa lockdown. Sana sana tuongeze vifaa tiba kama oxygen na watoa huduma wa kutosha ikibid. Tuchukue taadhar za kawaida kama usafi, distancing na barakoa[barakoa si muhim sana]. Tupunguze mikusanyiko isiyo ya lazma[lakin ya kiuzalishaji iendelee]. Pia tuziamin dawa zetu za asili kama kufukiza na limao na tangawizi. na tule vyakula vya kuongeza virutubisho kinga. Tuone kama herd immunity pia itafanya kaz. Tusijiingize kwenye mbinu zinazotugharim kwa tija kidogo. Muhim zaid tupunguze hofu mana huu si ugonjwa wa kuisha leo. Tukabilane nao. Lawana na laana ziwaendee waliotengeneza hiyo virus kwa maslahi yao.
Kama airport huijui iko wapi hii topic wala haikuhusu stand iko Mbezi siku hizi.
Mawazo ya hovyo kabisa! Shame!
% za nchi nyingine ziokje? Kwani hiyo sample ni representative? Halafu, akisitisha ndege, hawatapanda ndege nyingine?
🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆😭😭😭😭Watakuwa wanatumiwa tu na mabeberu waarabu koko hao.
Hizi ni chuki tu za mabeberu kwa kipenzi cha Mungu Dkt JPM.
Watakuwa wanatuonea wivu tu kwa kuwa tuko uchumi wa kati.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Kwani wakikupima na wakakuambia unayo/hauna ile dola mia inarudishwa!?Taarifa zilizopo ni kwamba huwa wanapimwa ila huwa wanapewa majibu ya uongo!Yaani unapigwa dola 100 kupima Corona ambayo utaambiwa huna hata kama unayo.
Tukipigwa hii nyenye ufanisi kwa virus ambavyo sio vya south Africa... Tukipigwa navirusi vya south itatusaidia!?Chanjo ya South Africa imesitishwa kwa sababu ufanisi wake kwa virus vipya vya South Africa ni mdogo. Zipo chanjo katika zilizopo zenye ufanisi pia na kwa virus hivi. Iliyositoshwa itaelekezwa kusiko virus vya South Africa. Tatizo like wapi?
Si nchi zote zina virus daraja hili la Africa Kusini ambavyo ni vikali zaidi.
Kwani sisi vya Africa Kusini vipo hapa nchini kwetu pia? Au navyo ni nyara za serikali?
Chanjo haina maswali yoyote zaidi ya kuwa wasio wataalamu wameteka nyara mambo ya ugonjwa huu kwa maslahi binafsi.
Enyi msiokuwa katika makundi yaliyoko hatarini tafadhali fungeni midomo yenu inanuka uvundo! Mna nini cha kufanya nyie au mnawacheza shere tu hawa wanaokufa?
Dunia kwa sasa inatakiwa kuwa makini sana na Tanzania kuliko hata corona, hebu fikilia hao ni wasafiri waliopimwa kabla ya kuondoka vipi walioko huko vijijini
Mwenyezi Mungu aliyetuumba na kutupatia kila kitu at our disposal hashughuliki na wapumbavu wasiotaka kutumia vizuri bongo zao.Mmmm Tanzania yangu MUNGU usituache tu!
Maabara zenu hapo Dsm zina fake matokeo, kwa kuwa sasa imekuwa business basi yanatolewa majibu ya kuleta pesa tu.Kwani wanapo ondoka hawapimwi jamani? Basi ukimjua adui tafuta mbinu anazotumia ili asikudukue mapema, viongozi fanyeni kazi yenu!
Hvavina madhara weee watu wanaamsha hvoDunia nzima tujifunze kuishi na hivi vijimafua visivyo na madhara yoyote kwa binadamu, kuzuia watu kusafiri au lockdown haiwezi kuwa suluhisho make hivi vijimafua bado vipo vipo saaana tu!
Hakuna anasyesema lockdown. Hakuna anayesema chanjo sasa hivi kipindi ambacho watu wanakufa kama kuku. Hayo yote ni maelezo ya kupoteza muda tu. Nianze kusema adui mkubwa wa mapambano ya corona Tanzania ni rais wetu. Kuna simple measures ambazo seriakli ingeweza kuzichukuwa na zikapunguza maambukizo na vifo visivyo na ulazima. Kwanza kungekuwepo na kuwahamasisha watu hatua za kujilinda (siyo kujifukiza wala kunywa madawa ya asili ambayo hayakuhakikiwa). Pili kwa wale wanaohisi wameambukizwa kungekuwa na utaratibu unaoeleweka wa wafanye nini. Waende hospital gani na huduma za upimaji ziwepo sehemu nyingi. Kwa wale ambao wako positive na hawaumwi sana wangeambiwa njia za kuchukuwa ili wasiambukize wengine. Na wale wanaolazwa hospital basi kungekuwepo na utaratibu unaoeleweka na hospital zilizotengwa. Ndugu wasiruhusiwe kuwatembelea (nimesikia matukio ya familia nyingi kupoteza ndugu wengi kwa sababu tu walikuwa wanatembeleana). Pia takwimu ni muhimu sana ili tujue hali ya maambukizi. Kwa kifupi kuna vitu vidogo vidogo vingi sana visivyo na gharama kubwa ambavyo vingefanywa hali isingefikia hapa tulipofikia.Tanzania tunakiri corona ipo. Hata Abas kashaliweka sawa. Ila tunatofautiana namna ya kukabiliana nayo. Sisi kama nchi hatuko tayar kwa chanjo ambayo haijafanyiwa uhakiki wa kutosha. Hatuko tayar kwa lockdown. Sana sana tuongeze vifaa tiba kama oxygen na watoa huduma wa kutosha ikibid. Tuchukue taadhar za kawaida kama usafi, distancing na barakoa[barakoa si muhim sana]. Tupunguze mikusanyiko isiyo ya lazma[lakin ya kiuzalishaji iendelee]. Pia tuziamin dawa zetu za asili kama kufukiza na limao na tangawizi. na tule vyakula vya kuongeza virutubisho kinga. Tuone kama herd immunity pia itafanya kaz. Tusijiingize kwenye mbinu zinazotugharim kwa tija kidogo. Muhim zaid tupunguze hofu mana huu si ugonjwa wa kuisha leo. Tukabilane nao. Lawana na laana ziwaendee waliotengeneza hiyo virus kwa maslahi yao.
Hivi hapo kwenye hicho kiarabu Tanzania ndo imeandikwa kwa maandishi gani? Kiarabu bana...View attachment 1703573
View attachment 1703577
Waziri wa Afya wa Oman amethibitisha takwimu za maambukizi ya Corona kwa wasafiri wanaotokea nchini Tanzania kuwa katika kiwango cha juu sana, ambapo asilimia 18 ya wasafiri wamekutwa na maambukizi ya virusi hivyo. Waziri huyo amesema wanafikiria kuzuia safari za ndege kutoka nchi zinazoonyesha kuwa na kiwango cha juu cha maambukizi ya virusi vya corona.
Lazima nisiijue kwani nina shida ya kukimbilia ubeligiji mie .....we ijue eapoti hadi ya ahera ila chanjo mkapapasiwe hukohuko mnapotaka kwendaKama airport huijui iko wapi hii topic wala haikuhusu stand iko Mbezi siku hizi.