Waziri wa Afya Oman: Asilimia 18% ya wasafiri wanaotokea Tanzania wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, tunafikiria kusitisha safari za ndege

Waziri wa Afya Oman: Asilimia 18% ya wasafiri wanaotokea Tanzania wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, tunafikiria kusitisha safari za ndege

Tanzania tunakiri corona ipo. Hata Abas kashaliweka sawa. Ila tunatofautiana namna ya kukabiliana nayo. Sisi kama nchi hatuko tayar kwa chanjo ambayo haijafanyiwa uhakiki wa kutosha. Hatuko tayar kwa lockdown. Sana sana tuongeze vifaa tiba kama oxygen na watoa huduma wa kutosha ikibid. Tuchukue taadhar za kawaida kama usafi, distancing na barakoa[barakoa si muhim sana]. Tupunguze mikusanyiko isiyo ya lazma[lakin ya kiuzalishaji iendelee]. Pia tuziamin dawa zetu za asili kama kufukiza na limao na tangawizi. na tule vyakula vya kuongeza virutubisho kinga. Tuone kama herd immunity pia itafanya kaz. Tusijiingize kwenye mbinu zinazotugharim kwa tija kidogo. Muhim zaid tupunguze hofu mana huu si ugonjwa wa kuisha leo. Tukabilane nao. Lawana na laana ziwaendee waliotengeneza hiyo virus kwa maslahi yao.
Mawazo ya hovyo kabisa! Shame!
 
Tanzania tuna korona ya kutisha na cha kusikitisha wengi hawachukui tahadhari ya kujikinga na dipotivo!!
 
Watakuwa wanatumiwa tu na mabeberu waarabu koko hao.

Hizi ni chuki tu za mabeberu kwa kipenzi cha Mungu Dkt JPM.

Watakuwa wanatuonea wivu tu kwa kuwa tuko uchumi wa kati.

Au nasema uongo ndugu zangu?
🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆😭😭😭😭
 
Taarifa zilizopo ni kwamba huwa wanapimwa ila huwa wanapewa majibu ya uongo!Yaani unapigwa dola 100 kupima Corona ambayo utaambiwa huna hata kama unayo.
Kwani wakikupima na wakakuambia unayo/hauna ile dola mia inarudishwa!?

Logic ya Maabara kudanganya ni ipi!? Faida yake haswa ni nini?!
 
Chanjo ya South Africa imesitishwa kwa sababu ufanisi wake kwa virus vipya vya South Africa ni mdogo. Zipo chanjo katika zilizopo zenye ufanisi pia na kwa virus hivi. Iliyositoshwa itaelekezwa kusiko virus vya South Africa. Tatizo like wapi?

Si nchi zote zina virus daraja hili la Africa Kusini ambavyo ni vikali zaidi.

Kwani sisi vya Africa Kusini vipo hapa nchini kwetu pia? Au navyo ni nyara za serikali?

Chanjo haina maswali yoyote zaidi ya kuwa wasio wataalamu wameteka nyara mambo ya ugonjwa huu kwa maslahi binafsi.

Enyi msiokuwa katika makundi yaliyoko hatarini tafadhali fungeni midomo yenu inanuka uvundo! Mna nini cha kufanya nyie au mnawacheza shere tu hawa wanaokufa?
Tukipigwa hii nyenye ufanisi kwa virus ambavyo sio vya south Africa... Tukipigwa navirusi vya south itatusaidia!?

Kama hapana, je tutahitaji chanjo mpya tena ya virus vya south Afrika!?

Bonus Question, nchi nyingi za kusini mwa jangwa la sahara zinafanana kimazingira na tabia nchi.. ni nini specific kwa south african people and their climate kilichopelekea kirusi hiki kubadilika kabisa na kuwa tabia mpya kulinganisha na kirusi mama cha wuhan!?

Na nini kimepelekea kirusi hiki kiitwe cha south Afrika!?
 
Dunia kwa sasa inatakiwa kuwa makini sana na Tanzania kuliko hata corona, hebu fikilia hao ni wasafiri waliopimwa kabla ya kuondoka vipi walioko huko vijijini

Hata sasa wenye mamlaka wanasema ni hujuma tu. Eti kuwa wanasingiziwa.

Ujinga mzigo kama wa kuni nao hubebwa kichwani tu.
 
Kwani wanapo ondoka hawapimwi jamani? Basi ukimjua adui tafuta mbinu anazotumia ili asikudukue mapema, viongozi fanyeni kazi yenu!
Maabara zenu hapo Dsm zina fake matokeo, kwa kuwa sasa imekuwa business basi yanatolewa majibu ya kuleta pesa tu.
 
Basi itakuwa Watanzania wana kinga nzuri sana...

Haiwezekani kila kundi la Watanzania wakiingia nchi fulani, kadhaa waonekane na maambukizi huku hawa hata dalili ya mafua wala uchovu...

Si ajabu watu weusi waka wabeba virus lakini wanaathirika kwa kiwango kidogo (wale wenye kinga duni)
 
Dunia nzima tujifunze kuishi na hivi vijimafua visivyo na madhara yoyote kwa binadamu, kuzuia watu kusafiri au lockdown haiwezi kuwa suluhisho make hivi vijimafua bado vipo vipo saaana tu!
Hvavina madhara weee watu wanaamsha hvo
 
Tanzania tunakiri corona ipo. Hata Abas kashaliweka sawa. Ila tunatofautiana namna ya kukabiliana nayo. Sisi kama nchi hatuko tayar kwa chanjo ambayo haijafanyiwa uhakiki wa kutosha. Hatuko tayar kwa lockdown. Sana sana tuongeze vifaa tiba kama oxygen na watoa huduma wa kutosha ikibid. Tuchukue taadhar za kawaida kama usafi, distancing na barakoa[barakoa si muhim sana]. Tupunguze mikusanyiko isiyo ya lazma[lakin ya kiuzalishaji iendelee]. Pia tuziamin dawa zetu za asili kama kufukiza na limao na tangawizi. na tule vyakula vya kuongeza virutubisho kinga. Tuone kama herd immunity pia itafanya kaz. Tusijiingize kwenye mbinu zinazotugharim kwa tija kidogo. Muhim zaid tupunguze hofu mana huu si ugonjwa wa kuisha leo. Tukabilane nao. Lawana na laana ziwaendee waliotengeneza hiyo virus kwa maslahi yao.
Hakuna anasyesema lockdown. Hakuna anayesema chanjo sasa hivi kipindi ambacho watu wanakufa kama kuku. Hayo yote ni maelezo ya kupoteza muda tu. Nianze kusema adui mkubwa wa mapambano ya corona Tanzania ni rais wetu. Kuna simple measures ambazo seriakli ingeweza kuzichukuwa na zikapunguza maambukizo na vifo visivyo na ulazima. Kwanza kungekuwepo na kuwahamasisha watu hatua za kujilinda (siyo kujifukiza wala kunywa madawa ya asili ambayo hayakuhakikiwa). Pili kwa wale wanaohisi wameambukizwa kungekuwa na utaratibu unaoeleweka wa wafanye nini. Waende hospital gani na huduma za upimaji ziwepo sehemu nyingi. Kwa wale ambao wako positive na hawaumwi sana wangeambiwa njia za kuchukuwa ili wasiambukize wengine. Na wale wanaolazwa hospital basi kungekuwepo na utaratibu unaoeleweka na hospital zilizotengwa. Ndugu wasiruhusiwe kuwatembelea (nimesikia matukio ya familia nyingi kupoteza ndugu wengi kwa sababu tu walikuwa wanatembeleana). Pia takwimu ni muhimu sana ili tujue hali ya maambukizi. Kwa kifupi kuna vitu vidogo vidogo vingi sana visivyo na gharama kubwa ambavyo vingefanywa hali isingefikia hapa tulipofikia.
 
View attachment 1703573
View attachment 1703577

Waziri wa Afya wa Oman amethibitisha takwimu za maambukizi ya Corona kwa wasafiri wanaotokea nchini Tanzania kuwa katika kiwango cha juu sana, ambapo asilimia 18 ya wasafiri wamekutwa na maambukizi ya virusi hivyo. Waziri huyo amesema wanafikiria kuzuia safari za ndege kutoka nchi zinazoonyesha kuwa na kiwango cha juu cha maambukizi ya virusi vya corona.
Hivi hapo kwenye hicho kiarabu Tanzania ndo imeandikwa kwa maandishi gani? Kiarabu bana...
 
Kama airport huijui iko wapi hii topic wala haikuhusu stand iko Mbezi siku hizi.
Lazima nisiijue kwani nina shida ya kukimbilia ubeligiji mie .....we ijue eapoti hadi ya ahera ila chanjo mkapapasiwe hukohuko mnapotaka kwenda
 
January 4, 2021

Speech of H.E. Dr. Ahmed Al-Saidi, Minister of Health while visiting COVID-19 vaccinations centres




Source : Omani MOH
 
February 16,2021
Muscat, Oman

Supreme Committee may stop flights from few countries: Minister​


Supreme Committee may stop flights from few countries: Minister



Muscat: Oman may consider stopping flights to some countries where coronavirus cases are significantly increasing, the country’s Minister of Health said.

His Excellency Dr. Ahmed Al Saeedi, Minister of Health said: “The Supreme Committee is analysing the data especially from countries like Tanzania. “Those coming from Tanzania record 18% of positive cases and that is a very high number,” Al Saeedi said.

“Therefore the Supreme Committee is considering stopping flights with countries where Covid 19 is spreading in a worrying and dangerous manner,” he added.

Source : Supreme Committee may stop flights from few countries: Minister


..............................................................................


Hapo awali mwezi June 2020 mwaka jana:

COVID-19: Message from Dr Ahmed al Saeedi, Oman's Minister of Health
 
Back
Top Bottom