Waziri wa Afya Oman: Asilimia 18% ya wasafiri wanaotokea Tanzania wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, tunafikiria kusitisha safari za ndege

Kwani huu ugonjwa huuwa kwanza kabla ya kuugua? Kama ni hivyo basi wamesingiziwa na walipaswa kuwa kwenye majeneza kwanza.
Mbona hawaumwi sasa wasafiri wenyewe, kazi kutest positive tu, au huu ugonjwa ukoje kwani?
 
Mkuu kuna elimu ya huu ugonjwa watu hawapewi vya kutosha. Kupata corona sio lazima uumwe unaweza ukawa positive na usijue kabisa tatizo unaweza kumuambukiza mtu bila kujuwa na huyo mtu akapata shida sana hata kupoteza maisha sababu watu tunatofautiana. chukulia mtu kabeba virus bila kujuwa kapelekea wazazi wake watu wazima ua kati ya family yake ukawachukuwa vibaya wakapoteza maisha au kuteseka. hatari ya ugonjwa huu ni dalili zake kuchukuwa muda ndio maana unaambiwa ukae siku 14. Oman wamekuja na number hizi kwa sababu ukifika Oman inabidi ulipe dola 70 wanachukuwa kipimo cha PCR halafu unatakiwa uchukuwe Hotel kwa hesabu yako ukae ukisubiri majibu siku ya pili unatumiwa majibu yakiwa mazuri ndio unaenda unakoenda ukiwa positive inabidi ukae quarantine hesabu yako hotelini. ndege ikitoka Tz wanachukuliwa vipimo hata kama una certificate ya negative sasa hapo ndio majibu yanatoka katika kila abiria 100 kumi na nane yanatoka positive. Na hii wanafanyiwa abiria wote ncho zote. sampling kama hii ni kama kusema 18% ya watanzania wana corona, kuumwa au kutokuumwa sio issue wengi wanapata bila kujuwa kabisa hatari yake kumuambukiza mtu dhaifu. tujikinge sisi na family zetu na majirani zetu na hata tusiowajuwa.
Kumbe badala ya kuwapa watu shida inatakiwa watu wote dhaifu ndio wawekwe kwenye restrictions, sivyo?
 
Kuna wakati nchi kama UK hata UAE walizuia watu wazima kwenda masokoni na Spain walitenga muda maalumu wa wazee kuwa nje bila kuingiliana na vijana. Sababu kuu vijana wana chance kubwa sana kuishinda Corona ila watu wazima inakuwa changamoto sana kwao by nature. Sasa kila mtu anajuwa afya yake na anajuwa wazee wake au hata kama ndugu watu wazima na wenye matatizo ni kuacha kuwatembelea pasipo na ulazima ni jukumu la kila mtu kujiongeza.
 
Nasikia kuna kiongozi mkubwa uko Zenji katembea?!

Dah, RIP Maalim Seif, makamu wa Kwanza katika Serikali ya Zanzibar.

Kama Taifa sasa inabidi "turudi" katika mstari tuongee kuhusu gonjwa hili bila kujifanya kuwa halipo.

Muimbaji Paschal Cassian ktk wimbo wake kuna mstari usemao - Usikiapo misiba au msiba kama huu basi tufahamu kuwa sauti ya Mungu imeamua kuhubiria ktk matatizo, ktk majonzi, wakati watu wanalia.......... hiyo turudi katika mstari.

PASCHAL CASSIAN TURUDI VIDEO AFRCAN

Tanzania imekua sehemu ya kitovu cha Korona Duniani.
Halafu kibaya zaidi unafikiri Tanzania ni nchi kubwa kama Marekani kana kwamba inajulikana na wote duniani. Kuna watu walioko huko duniani ukiitambulisha Tanzania lazima uanze kutambulisha Afrika, Afrika Mashariki then ndo uitaje Tanzania. Kwa hiyo punguza hasira za kisiasa uishi maisha marefu
 
Inasaidia nini?
 
kusema Tanzania ni sehemu ya kitovu cha korona dunuani ndiyo hasira??

How old are you??
 
Baba mask sio Kinga ya Corona, ingekua hivo wenzetu huko mbele wasingekufa....! Mbona mnakua malimbujeni?? Inamaana ma profesa na matajiri waliokufa woote hawakuvaa barakoa??
Pumbavu mkubwa wewe, hata Condom siyo Kinga ya Ukimwi 100% lakini kwa nini unashauriwa kutumia. Jinga kabisa wewe
 
Baba Jay naomba usitumie jazba tumia busara tu, mimi siungi mkono lockdown hapana na heard immunity nikutoa kafara baadhi ya watu sasa Mungu aepushe isiwe watu wako au unaowajua kuwa kafara ya heardy immunity. point hapa ni serikali kuwaambia watu ukweli corona ipo hatari cha kufanya ni kuzuia mikusanyiko isiyo ya lazima na kama inabidi kuwepo na mikusanyiko ni kuvaa barakoa, distance na kunawa mikono na mifano ingeoneshwa na viongozi katika mikutano yao, sio kwamba ingemaliza huu ugonjwa ila ingepunguza maambukizi mtu kwa mtu. uimara wa afya yako sio uimara wa mwingine. Ni hali ya kukiri ugonjwa na tahadhari sio aibu hii.
Sikiliza ndugu yangu, serikali imeshatangaza kuhusu kuchukua tahadhari na msisitizo Ni kwa magonjwa yoote... Kwann!?
Ulimwengu nzima unataharuki na hofu ya korona... Ndo Mana
Kunawatu wanakufa kutokana na taharuki ya kuambiwa Ana korona inayopelekea kushusha Kinga na kumalizwa kirahisi na hio korona...

Serikali imechagua njia sahihi yakupambana na hili janga kwakua nshapoteza ndugu miongoni mwa walioumwa hio korona kwakua tuu yeye pekee alipuuzia traditional therapy iliyotangazwa na serikali akatumia hizo za kisasa ambazo zilimgharimu karibia 30ml lakini haikusaidia uhai wake..

Wengine wawili walifuata hizi traditional therapy Mungu amewasaidia walipona... Sasa Mimi kwa logic hio siwezi pinga maamuzi ya Rais kwakua nimeona faida zake.
Hata Mimi binafsi inawezekana nilipata hivyo virusi lakini nilitumia hizo njia nikapona haraka kuliko za hospital...

Pili ukishaanza kuutangaza huu ugonjwa humjui madhara yake kiuchumi, binafsi natua huduma kwa wafanyakazi mbalimbali kitendo Cha mwaka jana serikali kuzuia mikusanyiko Kuna wato mpaka leo hahawana ajira na kampuni nyingi zimesuasua kuinuka Tena.
Ndugu zanguni Kuna mahali pana shida na rRais wetu tuseme lakini kwa hili tumuunge mkono, hi Ni Vita ya uchumi hatuwezi kusimamisha uzalishaji kwatatizo tunalohitaji kukabiliana nalo, watu wasipo kufa na korona basi watakufa njaa let's wake up watanzania
 
afya za watu muhimu kuliko huo uchumi wa kukusanya kodi? tunazalisha nini? ziko nchi zinalisha na wameweka afya za watu mbele.
 
Tuweke maneno ya siasa pembeni hivi serikali yetu ingeweza kutulisha woote kwakipindi kisichojulikana?? Kenya shughuli yake uliona.... Pia mahitaji sio chakula tuuu, binafsi siwezi Seema kwakua napewa chakula basi nitulie nyumbani wakati mtaji wangu na faida Ni nguvu zangu mwenyewe Sasa after lockdown ada za watoto ntalipa na Nini?? Kodi ya pango??? Bro msipige mahesabu rahisi hii Ni Vita na Vita ya uchumi wenzetu wanatumia Kila silaha kutumaliza Tena wao wenyewe wanawaelekeza namna ya kupigana.... Acheni hizo ninyi
 
Ngoja nikujibu taratibu, ada za watoto unalipa wewe kwa sababu una afya sasa waliopoteza wazazi wao au walezi?. Sisi tuna uchumi gani wa watu kutuonea wivu?? budget zetu tu 40% nyingi. Uonewe wivu kwa lipi? turudi kwenye uchumi je USA, EU au China watuogope sisi? South Africa yenye uchumi mkubwa Africa na Nigeria wamechukuwa hatua kulinda watu wao na chanjo wamenunua. SA huyu mdudu mpya walitangazia dunia kuwa kuna issue mpya hapa kwetu, unadhani hawaogopi uchumi wao? lakini wanajuwa jirani yako akiwa mgonjwa na wewe utakuwa mgonjwa. Tofauti ni ndogo tu, hizi nchi zina akiba ya pesa na uchumi unaweza kuhimili, sisi hatuna kitu hatuna pesa huo ndio ukweli na alisema yeye corona ya kwanza siwezi kufunga Dar huko tunakusanya pesa, sawa hakuna mtu amesema hapa lockdown ila zuia mambo yasiyo na lazima sio kila siku nyimbo hawataki tuzae unadhani hao wazungu wangekuwa wanataka kutudhuru wangetudhuru watoto bado kwenye chanjo sio jitu umezaa mpaka basi ndio waje kukudhuru kwa lipi? ok wazungu wabaya na hawa viongozi wengine wa Africa walioona kuna shida hapa nao vichaa na wabaya. Rwanda kinchi kidogo uchumi mdogo lakini wameona hatari mbele yao. na kule kujitapa hata tukikaa miezi 5 bila kufanya kazi tutakula tu pesa tunayo, yako wapi sasa???
 
Kuna wakati nchi kama UK hata UAE walizuia watu wazima kwenda masokoni na Spain walitenga muda maalumu wa wazee kuwa nje bila kuingiliana na vijana. Sababu kuu vijana wana chance kubwa sana kuishinda Corona ila watu wazima inakuwa changamoto sana kwao by nature. Sasa kila mtu anajuwa afya yake na anajuwa wazee wake au hata kama ndugu watu wazima na wenye matatizo ni kuacha kuwatembelea pasipo na ulazima ni jukumu la kila mtu kujiongeza.
Kumbe Jibu ni ndio, ajabu sasa kuhangaisha hao wasafiri bure wakati solution wanayo
 
Ngoja nikujibu taratibu, ada za watoto unalipa wewe kwa sababu una afya sasa waliopoteza wazazi wao au walezi?. Sisi tuna uchumi gani wa watu kutuonea wivu?? budget zetu tu 40% nyingi. Uonewe wivu kwa lipi? turudi kwenye uchumi je USA, EU au China watuogope sisi? South Africa yenye uchumi mkubwa Africa na Nigeria wamechukuwa hatua kulinda watu wao na chanjo wamenunua. SA huyu mdudu mpya walitangazia dunia kuwa kuna issue mpya hapa kwetu, unadhani hawaogopi uchumi wao? lakini wanajuwa jirani yako akiwa mgonjwa na wewe utakuwa mgonjwa. Tofauti ni ndogo tu, hizi nchi zina akiba ya pesa na uchumi unaweza kuhimili, sisi hatuna kitu hatuna pesa huo ndio ukweli na alisema yeye corona ya kwanza siwezi kufunga Dar huko tunakusanya pesa, sawa hakuna mtu amesema hapa lockdown ila zuia mambo yasiyo na lazima sio kila siku nyimbo hawataki tuzae unadhani hao wazungu wangekuwa wanataka kutudhuru wangetudhuru watoto bado kwenye chanjo sio jitu umezaa mpaka basi ndio waje kukudhuru kwa lipi? ok wazungu wabaya na hawa viongozi wengine wa Africa walioona kuna shida hapa nao vichaa na wabaya. Rwanda kinchi kidogo uchumi mdogo lakini wameona hatari mbele yao. na kule kujitapa hata tukikaa miezi 5 bila kufanya kazi tutakula tu pesa tunayo, yako wapi sasa???
Twende taratibu hao uliowataja (nchi) kwa lockdown waliokoa watu wangap???

Sawa sisi taarifa hatutoi lakini kuamuwazi Ni watu wangapi kwenye familia yako washapoteza maisha kwa coroCo ili ujue uzito wa janga hili plus hatua tulizochukua???

Swala la chanjo Rais hajakataa ila hataki tuwe majaribio kwa sababu mpaka sasa haijadhibitika sahihi Ni ipi!!

Vip Kenya wametangaza lockdown mwaka huu Tena?
 
Back
Top Bottom