Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

Unategemea waje na majibu ambayo ni tofauti na mawazo ya Magufuli? Ile professorial rubbish ya mruma itajirudia tena hapa, just wait
 
Rais, Mkemia, Mvuvi, Mkulima Mfugaji, IGP, Mwalimu, Nesi, Jaji, Mchumi, Mwanasheria, CAG, na sasa Doctor wa vipimo vya corona! ujuaji, ushenzi, ubishi, kutoshauri na kukosa subira ya kusikia ukweli amenajisi kila Sector Pumbavu Kabisa.
 
Dada yangu Ummy usijitoe ufahamu; hawa akina LYAMUYA, SHIRIMA, MARANDU, MSHANA, NA MSANGI wewe unajipenda ? ohoooo!!!! Yaani umekosa akina Masanja, Kobeho, Magige, Cheyo, hata akina Muras
Hawa wakitoa ukweli ambao unawafavor Nyambura na Jacob,lazima Magufuli atasema wamemuhujumu.
 
Mu
Muda ndio kitu pekee cha kuwapa 😕
 
Unaweka misumari kwenye mashine ya kusaga mahindi alafu unasema mashine haisagi vizuri!
 
Ndio,,inabidi sample hizi za mbuzi,fenesi,papai ziipimwe upya kila mtu akishuhudia,majibu yakitoka ndo yataamua,sample zilikua contaminated,Ana mashine Ni fake,ama kulikuwa na uzembe wa kulipua kazi
 
Yaani hii nchi. Mkurugenzi asimamishwa kazi.

Nani alikuwepo enzi za Mzee Mkapa pale Mkurugenzi alipohamishwa toka wizara ya Afya na kurudishwa Muhimbili kwenda kufundisha?
 
Punguza mihemko binti, unazidi cc FaizaFoxy
Wewe nawe. Kama mwanasayansi nimeguswa kwenye moyo kabisa. Ndo maana Albert Einstein akajisemea Siasa ni ngumu kuliko phyzikia. Wakati mwingine maamuzi ya wanasiasa ni ya kushangaza.
 
Sasa maabara inaendelea kupima wakati ishatiliwa shaka ayo majibu yatakayokuja muda huu tuyaamini vipi??? Natamani nibaki huku huku nisirudi tena huko nyumbani.
 
Ndio,,inabidi sample hizi za mbuzi,fenesi,papai ziipimwe upya kila mtu akishuhudia,majibu yakitoka ndo yataamua,sample zilikua contaminated,Ana mashine Ni fake,ama kulikuwa na uzembe wa kulipua kazi
Any way hawa wanakimbia tu tatizo. Mikusanyiko kila sehemu,ukipata cases nyingi za Covid unakuwa suprised kweli ?Unategemea nini wakati mazingira yote yanayofavor propagation yapo ON ?.Only idiots will think that the machine is fake.
 
Wewe nawe. Kama mwanasayansi nimeguswa kwenye moyo kabisa. Ndo maana Albert Einstein akajisemea Siasa ni ngumu kuliko phyzikia. Wakati mwingine maamuzi ya wanasiasa ni ya kushangaza.
Ungekuwa scientist usingeona tatizo la Magufuli katika confirmation of his hypothesis.
 

Mkuu nasikia waakuwa overworked ile mbaya. Wengine wanafanya kazi zaidi ya 24Hrs!
 
Wape muda kila ukweli utajulikana. Uzuri ugonjwa na vifo hawanaga adabu wala kumuogopa mtu. Mtu atabweka weee lakini vikija anabebwa akiwa hajitambui. Muda utasema wala hakuna shida.

Na uzuri mtu akifa ni mwendo wa kuuanika ukweli wake tu.
 
Kama mlileta wenyewe mapapai ili kupima ubora wa vifaa….na kifaa kikatoa majibu ya positive kwa mapapai….sasa Mkurugenzi koosa lake lipi hapo? Je alipaswa kutoa majibu tofauti na ya vifaa au alipaswa kukaa chini na kuanza kupima (sijui kama vifaa hivyo vinapima the same) kama ni sampuli ya matunda au ya binadamu?

Halafu mnajaribuje ubora wa vifaa katika nyakati za dharura kama hizi ambako watu wana 'ripotiwa' kuufa kama nzige??
 
1. HILI SAKATA LITAONDOKA NA MTU, SIO BURE
2. IMANI YA WATANZANIA JUU YA TAASISI KUBWA (MAABARA YA TAIFA) IMEPUNGUA SANA, IMEFIKIA HATUA UNASHINDWA UMSIKILIZE NANI KIUKWELI...



#TUCHUKUE TAHADHARI NA MAELEKEZO YA WATAALAMU... COVID-19 IPO NA INAUA#
 
Nilishangaa mpaka Leo hatuna kamati ya Korona
Kamati ya Corona ipo ndio ile inayofanya kazi na Ummy hii ni kamati ya kuchunguza mwenendo wa maabara...………..ulaji mwingine huo watalipwa posho kama kawa……… Tanzania yangu.
 
How come wakati hatujavuka sample 1000?

Mimi siyo mtaalam wa maabara. Ila inawezekana wapo wachache. Pia muda unaotumika kutest sample moja; uwezo wa equipment etc. Ni mawazo yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…