Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Unategemea waje na majibu ambayo ni tofauti na mawazo ya Magufuli? Ile professorial rubbish ya mruma itajirudia tena hapa, just waitNi sawa :kusimamishwa" kupisha uchunguzi ni taratibu za kawaida duniani Kote nadhani.
Hawajafukuzwa hawa watumishi. Na kuwa mkurugenzi haimaanishi yeye ndiye hupima, wao ni wasimamizi wa wafanyakazi wengi.
Tuwape muda wafanye kazi yao, tusianze kuwa hukumu kabla.
Vinavyochunguzwa vingi naamini, watu uzoefu na taaluma zao hasa wahusika, machines zenyewe, chemicals/ reagents.
Na vingine tusivyo visual.
Hivyo tuwape muda watuletee majibu.