Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

Ni sawa :kusimamishwa" kupisha uchunguzi ni taratibu za kawaida duniani Kote nadhani.

Hawajafukuzwa hawa watumishi. Na kuwa mkurugenzi haimaanishi yeye ndiye hupima, wao ni wasimamizi wa wafanyakazi wengi.

Tuwape muda wafanye kazi yao, tusianze kuwa hukumu kabla.

Vinavyochunguzwa vingi naamini, watu uzoefu na taaluma zao hasa wahusika, machines zenyewe, chemicals/ reagents.
Na vingine tusivyo visual.

Hivyo tuwape muda watuletee majibu.
Unategemea waje na majibu ambayo ni tofauti na mawazo ya Magufuli? Ile professorial rubbish ya mruma itajirudia tena hapa, just wait
 
Rais, Mkemia, Mvuvi, Mkulima Mfugaji, IGP, Mwalimu, Nesi, Jaji, Mchumi, Mwanasheria, CAG, na sasa Doctor wa vipimo vya corona! ujuaji, ushenzi, ubishi, kutoshauri na kukosa subira ya kusikia ukweli amenajisi kila Sector Pumbavu Kabisa.
 
Dada yangu Ummy usijitoe ufahamu; hawa akina LYAMUYA, SHIRIMA, MARANDU, MSHANA, NA MSANGI wewe unajipenda ? ohoooo!!!! Yaani umekosa akina Masanja, Kobeho, Magige, Cheyo, hata akina Muras
Hawa wakitoa ukweli ambao unawafavor Nyambura na Jacob,lazima Magufuli atasema wamemuhujumu.
 
Mu
Ni sawa :kusimamishwa" kupisha uchunguzi ni taratibu za kawaida duniani Kote nadhani.

Hawajafukuzwa hawa watumishi. Na kuwa mkurugenzi haimaanishi yeye ndiye hupima, wao ni wasimamizi wa wafanyakazi wengi.

Tuwape muda wafanye kazi yao, tusianze kuwa hukumu kabla.

Vinavyochunguzwa vingi naamini, watu uzoefu na taaluma zao hasa wahusika, machines zenyewe, chemicals/ reagents.
Na vingine tusivyo visual.

Hivyo tuwape muda watuletee majibu.
Muda ndio kitu pekee cha kuwapa 😕
 
wanawaonea tu ,tatizo wanaweka siasa mbele taaluma nyuma
mi nadhani wa kuwajibika ni waziri na serikali kwa ujumla
maswali ni mengi ,je hivyo vifaa vikingizwa wrong specimen majibu yatakuwa accurate?
wapimaji wanafanya kazi kulingana idadi ya vipimo kwa siku, mean hawapo overwork?
Unaweka misumari kwenye mashine ya kusaga mahindi alafu unasema mashine haisagi vizuri!
 
Maabara ya taifa wanatumia PCR. Sioni ajabu RNA ya Coronavirus kukutwa kwenye mbuzi,papai ama fenesi. Yatakuwa yalikuwa contaminated. Otherwise ili kuleta confirmation walitakiwa same sample wapeleke kwenye maabara tofauti hata tano. Hizo information moja tu haiwezi kukonclude kwamba mashine ni mbovu au wapimaji walikosea. The data is not sufficient kuwatuhumu watu.
Ndio,,inabidi sample hizi za mbuzi,fenesi,papai ziipimwe upya kila mtu akishuhudia,majibu yakitoka ndo yataamua,sample zilikua contaminated,Ana mashine Ni fake,ama kulikuwa na uzembe wa kulipua kazi
 
Punguza mihemko binti, unazidi cc FaizaFoxy
Wewe nawe. Kama mwanasayansi nimeguswa kwenye moyo kabisa. Ndo maana Albert Einstein akajisemea Siasa ni ngumu kuliko phyzikia. Wakati mwingine maamuzi ya wanasiasa ni ya kushangaza.
 
Sasa maabara inaendelea kupima wakati ishatiliwa shaka ayo majibu yatakayokuja muda huu tuyaamini vipi??? Natamani nibaki huku huku nisirudi tena huko nyumbani.
 
Ndio,,inabidi sample hizi za mbuzi,fenesi,papai ziipimwe upya kila mtu akishuhudia,majibu yakitoka ndo yataamua,sample zilikua contaminated,Ana mashine Ni fake,ama kulikuwa na uzembe wa kulipua kazi
Any way hawa wanakimbia tu tatizo. Mikusanyiko kila sehemu,ukipata cases nyingi za Covid unakuwa suprised kweli ?Unategemea nini wakati mazingira yote yanayofavor propagation yapo ON ?.Only idiots will think that the machine is fake.
 
Wewe nawe. Kama mwanasayansi nimeguswa kwenye moyo kabisa. Ndo maana Albert Einstein akajisemea Siasa ni ngumu kuliko phyzikia. Wakati mwingine maamuzi ya wanasiasa ni ya kushangaza.
Ungekuwa scientist usingeona tatizo la Magufuli katika confirmation of his hypothesis.
 
Wanawaonea tu ,tatizo wanaweka siasa mbele taaluma nyuma mi nadhani wa kuwajibika ni waziri na serikali kwa ujumla
maswali ni mengi ,je hivyo vifaa vikingizwa wrong specimen majibu yatakuwa accurate?

Wapimaji wanafanya kazi kulingana idadi ya vipimo kwa siku, mean hawapo overwork?

Mkuu nasikia waakuwa overworked ile mbaya. Wengine wanafanya kazi zaidi ya 24Hrs!
 
Wape muda kila ukweli utajulikana. Uzuri ugonjwa na vifo hawanaga adabu wala kumuogopa mtu. Mtu atabweka weee lakini vikija anabebwa akiwa hajitambui. Muda utasema wala hakuna shida.

Na uzuri mtu akifa ni mwendo wa kuuanika ukweli wake tu.
 
Kama mlileta wenyewe mapapai ili kupima ubora wa vifaa….na kifaa kikatoa majibu ya positive kwa mapapai….sasa Mkurugenzi koosa lake lipi hapo? Je alipaswa kutoa majibu tofauti na ya vifaa au alipaswa kukaa chini na kuanza kupima (sijui kama vifaa hivyo vinapima the same) kama ni sampuli ya matunda au ya binadamu?

Halafu mnajaribuje ubora wa vifaa katika nyakati za dharura kama hizi ambako watu wana 'ripotiwa' kuufa kama nzige??
 
1. HILI SAKATA LITAONDOKA NA MTU, SIO BURE
2. IMANI YA WATANZANIA JUU YA TAASISI KUBWA (MAABARA YA TAIFA) IMEPUNGUA SANA, IMEFIKIA HATUA UNASHINDWA UMSIKILIZE NANI KIUKWELI...

#TUCHUKUE TAHADHARI NA MAELEKEZO YA WATAALAMU... COVID-19 IPO NA INAUA#
 
Nilishangaa mpaka Leo hatuna kamati ya Korona
Kamati ya Corona ipo ndio ile inayofanya kazi na Ummy hii ni kamati ya kuchunguza mwenendo wa maabara...………..ulaji mwingine huo watalipwa posho kama kawa……… Tanzania yangu.
 
How come wakati hatujavuka sample 1000?

Mimi siyo mtaalam wa maabara. Ila inawezekana wapo wachache. Pia muda unaotumika kutest sample moja; uwezo wa equipment etc. Ni mawazo yangu.
 
Back
Top Bottom