Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Nakuunga mkono.Hii ni tekniki ya kuivuruga idara na wizara ili cases zisitishwe kutangazwa. ameshindwa tu kusema msitangaze. ndo maana mtu aliyekuwa anapinga kutangaza Mwigulu ametunikiwa cheo
Soma vizuri bro.Hongera zake ingawa hii kamati haipo sawa/huru kwa sababu imesheheni wataalamu wetu wa afya ambao wanaweza kulindana kwa namna moja au nyingine. Ingekuwa vyema kama wataalamu wa kada zingine wangewekwa katika kamati hiyo ili kuweka mizani katika hali ya usawa.
Mgonjwa mathalani wa moyo amezidiwa, kakimbizwa hospitali, madaktali hawamtibu hadi wajiridhishe na hali yake kuhusu corona, machine inachunguzwa, watu wa maabara wapo chini ya uchunguzi....
Nini hatma ya wagonjwa, hasa waliozidiwa?
Majimaji yake yalipelekwa kama sampuli ya kupimwa na yakapimwa!!Ivi ni kweli papai limepimwa likakutwa na corona,,? Haini ingii akilini.
Alishauri nchi zingine pia zipime papai! 🤣🤣Tatizo lako naliona, ni kuwa mpo tofauti na mawazo ya Magufuli. Wewe unataka kuona kama machine yetu hapa TZ zinatoa majibu halisi, wakati yeye anaamini machine zipo Sawa ila majibu yanahujumiwa ili tuonekane hapa Tanzania kuna wagonjwa wengi. Kwa hitaji lake alikuwa na option mbili ya kwanza kama unayofikiria na ya pili ni kukonfuse hiyo machine ili aone ni nini! Kwa Magufuli sample ya mbuzi kukutwa na coronavirus anadhani aidha wapimaji wamehongwa wanajitolea data tu (usisahau vijijini ulipokuwa enzi zile unapima malaria wengi waliandikiwa ipo), au vifaa vinavyotumika vimewekewa corona kimakusudi na waliotuuzia. Hivyo kwake papai kukutwa positive ni kuonesha si machine ila ni hila
mabeberu sio watu wazuri wanamtumia kila mtu kutoa matokeo hasi na wanatuonea wivu sana hadi wanawatumia watu wa Maabara.Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Jacob Lusekelo na Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi.
Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona
View attachment 1439553
Inaweza isiingie Akili yako lakini kwa alibukua vizuri sayansi inaingia fresh tu. Inaitwa false positive FP ama false negative FN pale unapotumia sampuli isiofaaIvi ni kweli papai limepimwa likakutwa na corona,,? Haini ingii akilini.
Hilo nalo ni neno!Hongera zake ingawa hii kamati haipo sawa/huru kwa sababu imesheheni wataalamu wetu wa afya ambao wanaweza kulindana kwa namna moja au nyingine. Ingekuwa vyema kama wataalamu wa kada zingine wangewekwa katika kamati hiyo ili kuweka mizani katika hali ya usawa.
Safi sana Umy Mwalimu kuna Watu wanatumika kuidhalilisha taaluma yetu, tunasoma miaka 4 harafu jitu moja linasababisha tuonekane si wazalendo.Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Jacob Lusekelo na Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi.
Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona
View attachment 1439553
Mtoa mada kwake ni kosa kwa serikali kufanya huu uchunguziHakuna kosa bado, kuna tuhuma.
Atakuwa haelewi tu, maana uchunguzi ni taratibu za kawaida za kiutumishi.Mtoa mada kwake ni kosa kwa serikali kufanya huu uchunguzi
Exactly👊👊👊...Nimeshangaa kuna watu walitaka serikali ikae kimya kwa hili...Mtoa mada yeye anaona wakifanya hivi basi hawadeal na #covid19.ushauri kwa wanaoanzisha mada wanatakiwa kuwa neutral kuacha wasomaji watafsiri kwa muono wao na si kuanzisha mada na kuwaelekeza wapi wapite. mfano
"Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Jacob Lusekelo na Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi.
Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona".
HAPA KUNA SHIDA HISIA ZIMEMZIDI AKILI
... kwa hako ka-assignment ka siku 9? Acha mzaha.Kaskazini safari hii inang'ara