Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Shule zifunguliwe sanaa maana hakuna haja ya kuangaika na ugonjwa ambao ndani ya siku mbili 50% ya wagonjwa nanapona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unaumia sana, kwanini uteseke?
Hao watu niwakina nani. mbona mnapenda sana kusemea watu au kulisha watu maneno kwa hisia zenu binafsi zakijinga.Wenye akili wanafikiria namna yakupambana na huu ugonjwa wewe bado unawaza watu.Amina. Ila kibaya sasa, kuna watu wanaumia na kuteseka na kusononeka sana wanaposikia habari njema juu ya hilo gonjwa, wanaumia sana, tena watz wenzetu, sijui wanashida gani...
Angalia comments za wadau kama wewe huko juu, kwanini mnateseka lakini, mnaumia nini hasa?Hao watu niwakina nani. mbona mnapenda sana kusemea watu au kulisha watu maneno kwa hisia zenu binafsi zakijinga.Wenye akili wanafikiria namna yakupambana na huu ugonjwa wewe bado unawaza watu.
Mungu awaweke huru kwelikweli.Hakuna chochote hpo kunawengine turikua fresh tu nimafua ya kawaida tu afu tunawekwa karantini yanii hotuba ya Jana ya mweshimiwa rais ndio imetuacha huru Leo
Hatutaki kusikia habari mbaya wala nzuri, tunataka kusikia ukweli tu. Kusikia habari nzuri za uongo kisha ukazifurahia ww ni sawa na maiti hai.
Waseme tu wote wamepona waruhusiwe kutoka mahospitalini waingie mitaani.
Siku si nyingi utasikia kapewa wizara ya afya!Ushauri wa Mwigulu umefanyiwa kazi
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi sasa jumla ya Wagonjwa waliopona ni 48 ambao ni kati ya Wagonjwa 108 waliothibitika kuwa na Ugonjwa huo, ila kwa sasa hawana dalili
Amesma, "Tuna vifo 10, na hivyo tukabakiwa na wagonjwa 274 na kati ya 11 tumeshawatolea taarifa kuwa wamepona. Ni kweli kama alivyosema Rais Magufuli katika watu 263 waliobaki, 108 hawana ugonjwa wowote"
Ameongeza, "Watua hao 108, hawana homa, kifua, kikohozi wala chochote, ila tuliwazuia katika vitua ili kusubiri vipimo vya mwisho na kuthibitisha kama hawana maambukizi kabla ya kuwaruhusu kwenda nyumbani."
Amesema leo wameruhusu watu 37, na kuwa vipimo vyao vimeonesha hawana maambukizi ya #COVID19. Ametoa wito kwa jamii kuwa isiwanyanyapae na kuongeza kuwa wengine 71 vipimo vyao vinasubiri siku 2-3 wataruhusiwa kurudi nyumbani
aminaLeo nimemsikikiliza Waziri wa Afya kwa makini sana takwimu alizozitoa za watu 37 waliopona huku watu 71 vipimo vya mwisho ili waruhusiwe ni habari inayorejesha matumani katikati ya mapambano.
Hii inatoa takwimu ya jumla watu 108 wanaoonesha matumaini tena baada ya maambukizi .Hapa tunapata picha kuwa ile takwimu aliyoitaja Rais katika hotuba yake ni takwimu sahihi inayorejesha matumani zaidi.
Tuendelee kumtanguliza Mungu kwa kumuomba atusaidie huku tukijilinda kwa kuzingatia maelekezo yote tunayopatiwa na wataalamu wa afya pamoja na Serikali yetu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Kwahiyo kupona kabisa kwa watu 100 ni ukweli?kwanini uwa hamtaki kuambiwa ukweli?..
na kwanini uwa mnapenda msikie tu HABARI MBAYA?.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baada ya maelekezo maalum sasa wagonjwa wanapona kwa kasi- Only in Bongo
Hawajapona watu 100, wamepona watu 37 kama alivyosema Waziri Ummy Mwalimu
Hawajapona watu 100, wamepona watu 37 kama alivyosema Waziri Ummy Mwalimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapopatikanna watatangazwa kama kawaida Rais alisema wasitangazwe tu walioonngezeka,watangaze na wanaopona ili kuwaonndoa hofu kubwa wananchi,tutakuwa na Imani kuwa kumbe wanaponaHahahahaha we mjamaa hujipendi, hujui kwamba tumekatazwa kutoa takwimu za uongo..?
Kwa sasa Uganda ndo inaitangazia Tanzania visa vinavyopatikanaWanapopatikanna watatangazwa kama kawaida Rais alisema wasitangazwe tu walioonngezeka,watangaze na wanaopona ili kuwaonndoa hofu kubwa wananchi,tutakuwa na Imani kuwa kumbe wanapona