adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Idadi hii ni ya wale waliotoroka au?#NipasheHabari Waziri wa Afya @ummymwalimu amesema leo Aprili 24, 2020 wagonjwa 37 amethibitishwa kupona virusi vya corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani.
Utekelezaji wa kutangaza zaidi wagonjwa , "wanaopona" kuliko wagonjwa Wapya ........kaaaz kwei kwei....N' gosh#NipasheHabari Waziri wa Afya @ummymwalimu amesema leo Aprili 24, 2020 wagonjwa 37 amethibitishwa kupona virusi vya corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani.
Chukua namba ndogo mkuu ufurahishe nafsi maana hupendi habari nzuri za taifa hili.Kwa zile kauli za rais kwamba wamepona zaidi ya 100 tutaamini kweli?
coinidence ya ajabu sana, baada ya hotuba ya Magufuli wagonwa wameanza kupona kwa kasi na hakuna maambukizi mapya
Ushauri wa Mwigulu umefanyiwa kaziLeo lazima Magufuli atweet. Naona wameanza kunata na beat yake. Pia hakuna tena kutangaza maambukizi wala vifo 😁😁
Walikuwa wanafukizwa hospitalini?Tuwe na kiwango cha ujinga,kikizidi sana ni tatizo!
swakatktaa...plus yale mabadiliko ya katibu mkuu wizara ya afya.
Hii nchi hii
Yaani ni mwendo wa kunata na biti tu
Rais ameamua ni zamu ya wanaopona kutangazwa,hao wengine wasubiri kwanza!Kafuata ushauri wa Rais, sasa angetoa taarifa iliyokamilika zaidi; maambukizi mapya kama wapo ataje idadi, vifo kama vipo, then na hao waliopona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu eti unaomba usamehewe madeni wakati unaficha takwimu!Hao jamaa sio wajinga!swakatktaa...plus yale mabadiliko ya katibu mkuu wizara ya afya.
akina Ummy wanafanya kile boss anataka kusikia tuu ilimradi umma usipate taharuki hata kama hakuna uhalisia!.
hii ni hatari sana mkuu, tunapika takwimu kuficha ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Isije kuwa ni wale walio toroka Amana.. kwani wale walikua wangapi?#NipasheHabari Waziri wa Afya @ummymwalimu amesema leo Aprili 24, 2020 wagonjwa 37 amethibitishwa kupona virusi vya corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani.
Wasaga sumu kutoka lumumba
Baada ya maelekezo maalum sasa wagonjwa wanapona kwa kasi- Only in Bongo