Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani

Baada ya ile hotuba nilitegemea hili kutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
swakatktaa...plus yale mabadiliko ya katibu mkuu wizara ya afya.
akina Ummy wanafanya kile boss anataka kusikia tuu ilimradi umma usipate taharuki hata kama hakuna uhalisia!.

hii ni hatari sana mkuu, tunapika takwimu kuficha ukweli.

Halafu eti unaomba usamehewe madeni wakati unaficha takwimu!Hao jamaa sio wajinga!
 
Back
Top Bottom