Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani

Hesabu za Humphrey
Idadi ya walioambukizwa 285
Waliopona 48
Waliothibitika kupona 71
Waliokufa 10

Jumla ya waliopona/kuthibitka kupona
48+71=119
Waliokufa 10
So 119+10=129

Case (285) - 129 = 156

Kwa hiyo wagonjwa waliobaki ni 156
 
Mama yangu Ummy ugali mtamu mama. Hasa ukipata Dona kwa samaki usipime. Nani hapendi ugali kisa kuitetea mitanzania wakati boss hapendi! Waaaaiii acha ijifie huko mimi naangalia ugali. Tonge mama tonge usilikalie mbali oohooo.
 
Leo lazima Magufuli atweet. Naona wameanza kunata na beat yake. Pia hakuna tena kutangaza maambukizi wala vifo 😁😁
Mwamba aliwaka kwanini taarifa zinatolewa za kuongezeka idadi tu. Kunakuwa na hali ya kujazana hofu bla blah! Ila ilikuwa ni hali halisi 🤣🤣🤣 sasa wacha twende na upepo wa Mkulungwa
 
Mama yangu Ummy ugali mtamu mama. Hasa ukipata Dona kwa samaki usipime. Nani hapendi ugali kisa kuitetea mitanzania wakati boss hapendi! Waaaaiii acha ijifie huko mimi naangalia ugali. Tonge mama tonge usilikalie mbali oohooo.
Usifanye masihara na mkate wa kila siku 🤣🤣🤣
 
Zimekuwa hazituhusu baada ya Rais kusema. Wanataka wawawekee mazingira kuwa Covid haiui na wala hakuna maambukizi mapya.
Walikosea utaratibu, kila siku akionge Ummy watu wanapata presha, ilibidi mheshimiwa Rais kuondoa hofu na kuwapa muongozo sahihi wa kupambana na corona
 
Halafu Magufuli wala hajuagi kucheza na akili za watanzania wajinga wajinga. Alitakiwa apige kimya then amuagize Ummy afanye kama alivyotaka kwa mwendo wa kimya kimya wala leo Ummy asingeonekana hamnazo. Wengi wangetulia zao wapongeze ila kwa hili wanaona kabisa ni kamba ya kufa mtu. Zero ni zero tu siku zote.
 
Back
Top Bottom