Be curious.Mkuu, kumbuka pia watu waliomba Kwa Mungu
China huwa wanasema Maambukizi mapya ndani ya saa 24 ni 0. yaani sifuri!Mkuu, tuambiwe Tu hata kama hawapo?
Juzi tu namba zilpokuwa zikipanda Kwa maambukizi, unazikumbuka comments za wadau hapa!
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, shikilia hii kitu mkuu
Hii nimeikubali kabisa, Ummy imiza kujifukiza si unaona Uganda hamna kifo na hawaongezeki, wamebaki kiwakamata madreva walio na ugonjwa kutoka tzHii ni baada ya ushauri wa kuanza kutumia tiba asili ya kufukiza, sasa endeleeni kubeza. Safari hii lazima mabeberu waje kujifunza kwetu
Najiuliza hakukuwa na Waandishi ili kuuliza maswali ?China huwa wanasema Maambukizi mapya ndani ya saa 24 ni 0. yaani sifuri!
LwakatareHii kitu ingekamata haya mambwa ccm ingekua poa sn maana yamekazana kupotosha umma huku taifa likiangamia
Yeah hii ni kwa mujibu wa hotuba ya juzi kati ile, We are soon gonna completely fucqed up guys!Ameongea yale mwajiri wake anayotaka kuyasikia, regardless if its true or not.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamba aliwaka kwanini taarifa zinatolewa za kuongezeka idadi tu. Kunakuwa na hali ya kujazana hofu bla blah! Ila ilikuwa ni hali halisi 🤣🤣🤣 sasa wacha twende na upepo wa MkulungwaLeo lazima Magufuli atweet. Naona wameanza kunata na beat yake. Pia hakuna tena kutangaza maambukizi wala vifo 😁😁
Usifanye masihara na mkate wa kila siku 🤣🤣🤣Mama yangu Ummy ugali mtamu mama. Hasa ukipata Dona kwa samaki usipime. Nani hapendi ugali kisa kuitetea mitanzania wakati boss hapendi! Waaaaiii acha ijifie huko mimi naangalia ugali. Tonge mama tonge usilikalie mbali oohooo.
Haiwezi tokeaNachojua maji yatakapozidi unga kuna mtu atalia mbele ya press bila kujali Dunia inamwangalia hiyo siku yaja
Waandishi wetu ndio hawa akina Kapalatu!Najiuliza hakukuwa na Waandishi ili kuuliza maswali ?
Kuna mtu anae penda watu waumwe? Du, akili zingine bhana
Walikosea utaratibu, kila siku akionge Ummy watu wanapata presha, ilibidi mheshimiwa Rais kuondoa hofu na kuwapa muongozo sahihi wa kupambana na coronaZimekuwa hazituhusu baada ya Rais kusema. Wanataka wawawekee mazingira kuwa Covid haiui na wala hakuna maambukizi mapya.
Ummy anaongea kile mamlaka ya utezi inataka kusikia
Katibu wa wizara mpya na mganga mkuu mpya pia tamko la wazir jipya
Sent using Jamii Forums mobile app