Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ugonjwa unabagua,kuna wengine hauwapati,ni kama story ya hiv tu,wengine hawawi affected,ila wanaweza kuku infect,Huko Mjini Posta nasikia watu wanasepa sana
Dodoma mmmh...
Waziri wa Afya, Dk Dorothy Gwajima amesema watu 408 wamebainika kuwa na ugonjwa wa corona nchini huku 284 wakiwa katika mashine za oksijeni
Inakupendeza sana hii mkuu.Kumekucha
Maumivu Ya Kichwa Huanza Taratibu
Ngoma Inogire
Nani anakudanganya? Lockdown hapana!! Walete chanjo wawape wazee basi inatoshaTuweke lockdown hii corona isije ikatumaliza[emoji16][emoji16]
Tuwe serious na kupigana na huu ugonjwa.Nani anakudanganya? Lockdown hapana!! Walete chanjo wawape wazee basi inatosha
ujinga bado haujaisha kwako.Tuweke lockdown hii corona isije ikatumaliza[emoji16][emoji16]
Tanzania nzimaWapi? Kagera? Dodoma? Dar? Au ni Tanzania nzima?
Moja wapo Bugando.Hao waliobaki mbona haelezi wako wapi
Ataje na hospitali zinazowahudumia
Watu 400 tu!Tuweke lockdown hii corona isije ikatumaliza[emoji16][emoji16]
Yaani sasa imekuwa nasikia tu, duh.... nasikia watu wanasepa sana
...Nasikia mdudu anagandisha damu
...Nasikia kule hospital za mjini Dar ni shida
AamiynAllah atunusuru na janga hili
Huko kwenye lock down ni mbinu za kizamani.Tuwe serious na kupigana na huu ugonjwa.
Lockdown ni muhimu sana.