#COVID19 Waziri wa Afya: Watu 408 wamebainika kuwa na Corona , 284 wakiwa katika mashine za oksijeni

#COVID19 Waziri wa Afya: Watu 408 wamebainika kuwa na Corona , 284 wakiwa katika mashine za oksijeni

Na takwimu za wagonjwa wenye matatizo kupumua ya isiyo covid wako wangapi?
 
Sasaivi naona nchi kama haina wasemaji katika mambo ya kitaifa kama haya.....taarifa anatakiwa kutupa kila siku na maeneo gani yanaongoza ili sie wananchi tukae kwa tahadhali
 
Wajitahidi idadi iongezeke tupate fedha za misaada.
 
Ndio nini sasa hiki ? hao 408 wamegundulika lini ? Na Wapi ? Katika kutambua ukubwa wa tatizo tunatakiwa tuambiwe eneo na kipindi cha muda walipogundulika vinginevyo tunaona ni janja janja tu !
Yani hiyo idadi nindogo huku mwanza tu ukianzia Hindu hospil bungando seketure hali nimbaya sana
 
Back
Top Bottom