Sasaivi naona nchi kama haina wasemaji katika mambo ya kitaifa kama haya.....taarifa anatakiwa kutupa kila siku na maeneo gani yanaongoza ili sie wananchi tukae kwa tahadhali
Ndio nini sasa hiki ? hao 408 wamegundulika lini ? Na Wapi ? Katika kutambua ukubwa wa tatizo tunatakiwa tuambiwe eneo na kipindi cha muda walipogundulika vinginevyo tunaona ni janja janja tu !