1. Mwanangu amechaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita (F. V & VI) mwaka huu 2021 Shule ya Sekondari Nyantakara katika tahususi (Combination) ya Chemistry, Biology & Geography (CBG) iliyoko wilaya ya Biharamulo mkoa wa Kagera. Hii ni shule ya serikali ya Tanzania.
2. Licha ya orodha ya mahitaji mengi anayotakiwa aende nayo mfano; fagio wa kufagilia ndani, sabuni ya maji ya chooni, fagio wa kufagilia nje, ream ya kataratasi nk nk, lipo hili ambalo mimi limeniacha hoi hata kujiuliuza kulikoni hizi shule za serikali? Nimeambiwa nimnunulie mwanangu
[A.] Vitabu yote vya tahasusi (subject combinations) anayokwenda kusoma yaani CBG & Basic Applied Maths
[B.] Dissecting Kit ya somo la Bailojia
3. Nikajiuliza ina maana shule hii anayokwenda kusoma mwanangu haina vitabu? Imekuwaje inaanza kidato cha tano huku ikiwa haina vitabu? Kipi kilipaswa kuanza, majengo au vitabu na walimu kwanza? Hivi mzazi kama nanunua vitabu vyangu kwa ajili ya mwanangu, si bora asomee nyumbani sasa na siku ya mtihani aende kufanya tu?
4. Nimelileta humu tujadiliane ili tujue majigambo ya serikali kuwa imeboresha elimu Tanzania, yana maana gani kama hali iko hivi ktk shule zake?
4. Naambatanisha na Joining instructions ya shule kwa ajili ya ushahidi na reference zaidi kwa atakayetaka kuthibitisha maelezo yangu.
5. Honestly, baada ya kuipata hii fomu ya maelekezo, nimeanza kusaka fedha tu na kufikiri kumpeleka shule ya binafsi.
View attachment 1829765View attachment 1829766View attachment 1829769
Kuna vitu ukiambiwa kununua vinaleta mantiki na vingine havileti. Tatizo la shule za Tanzania wanajaribu ku-complicate mambo bila sababu. Kwa mfano hili la shuka. Kwani ni lazima yawe na rangi moja? Vitu kama vitabu inaweza kueleweka lakini vitu kama dawa ya chooni, mafyekeo etc ni vitu vinatakiwa kutolewa na shule.
Jeshi siyo shule. BTW mimi nimpinga complication zisizo na lazima. Sipingi kununua vifaa. Karne ya leo unawaambia watoto wabebe majembe na makorokoro kibao yaliyopitwa na wakati kwenye dunia ya leo!Hata uniform kwa nini kila mtu asivae la kwake.
Umeshawahi jiuliza kwa nn majeshini hata mashuka , neti zina fanana?
Msiwe wapinzani wa kila kitu. Mbona watoto wakienda jkt vifaa mnanunua wenyewe tena mnapangiwanmpaka rangi?
Kama hujawahi pitia maisha ya shule ni ngumu kusomesha maana unaona pesa ni nyingi
Hizi high school za kata zimeanzishwa kisiasa.Nina wasiwasi hata mitihani ya kumaliza form six inasahihishwa kisiasa vile vile.1. Mwanangu amechaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita (F. V & VI) mwaka huu 2021 Shule ya Sekondari Nyantakara katika tahususi (Combination) ya Chemistry, Biology & Geography (CBG) iliyoko wilaya ya Biharamulo mkoa wa Kagera. Hii ni shule ya serikali ya Tanzania.
2. Licha ya orodha ya mahitaji mengi anayotakiwa aende nayo mfano; fagio wa kufagilia ndani, sabuni ya maji ya chooni, fagio wa kufagilia nje, ream ya kataratasi nk nk, lipo hili ambalo mimi limeniacha hoi hata kujiuliuza kulikoni hizi shule za serikali? Nimeambiwa nimnunulie mwanangu
[A.] Vitabu yote vya tahasusi (subject combinations) anayokwenda kusoma yaani CBG & Basic Applied Maths
[B.] Dissecting Kit ya somo la Bailojia
3. Nikajiuliza ina maana shule hii anayokwenda kusoma mwanangu haina vitabu? Imekuwaje inaanza kidato cha tano huku ikiwa haina vitabu? Kipi kilipaswa kuanza, majengo au vitabu na walimu kwanza? Hivi mzazi kama nanunua vitabu vyangu kwa ajili ya mwanangu, si bora asomee nyumbani sasa na siku ya mtihani aende kufanya tu?
4. Nimelileta humu tujadiliane ili tujue majigambo ya serikali kuwa imeboresha elimu Tanzania, yana maana gani kama hali iko hivi ktk shule zake?
4. Naambatanisha na Joining instructions ya shule kwa ajili ya ushahidi na reference zaidi kwa atakayetaka kuthibitisha maelezo yangu.
5. Honestly, baada ya kuipata hii fomu ya maelekezo, nimeanza kusaka fedha tu na kufikiri kumpeleka shule ya binafsi.
View attachment 1829765View attachment 1829766View attachment 1829769
Ashira Girls wanafunzi wa EGM wameambiwa wapeleke MUNDU au kwa jina lingine ShamiKuna vitu ukiambiwa kununua vinaleta mantiki na vingine havileti. Tatizo la shule za Tanzania wanajaribu ku-complicate mambo bila sababu. Kwa mfano hili la shuka. Kwani ni lazima yawe na rangi moja? Vitu kama vitabu inaweza kueleweka lakini vitu kama dawa ya chooni, mafyekeo etc ni vitu vinatakiwa kutolewa na shule.
Kuna wengine ni mawayatima, wafanyeje?If you think education is expensive then try ignorance.
Naomba tumtafsirie mdau huu msemo
Ulisoma "zamani" ya lini ndugu ambayo ulikuwa unaagizwa uende na sabuni ya chooni lita 5, ufagio wa kufagilia ofisini kwa Headmaster/mistress nk nk?Vitabu lazima anunue hata Sisi tuliosoma zamani tulikuepo tunanunua tuu. Dissecting kit ni vizuri Kwa maana hiyo itakuepo ni Mali yake. Understanding biology, understanding chemistry
Kuwa na vitabu ni basic needs za mwanafunzi. Hata kama unalipa Kodi lakini sio kila kitu service itatolewa bure na serikali. Kitabu, madaftari , pencil , pen hizo ni basics needs .Ulisoma "zamani" ya lini ndugu ambayo ulikuwa unaagizwa uende na sabuni ya chooni lita 5, ufagio wa kufagilia ofisini kwa Headmaster/mistress nk nk?
Kama mtanzania analipa mpaka kodi ya simkadi ya simu, tozo ya kutuma na kupokea mobile money, kodi ya LUKU na zingine nk nk...
Hii fedha inakuwa inakwenda wapi kama serikali inashindwa kupeleka fedha za kuhudumia shule zake...?
Mbona mnajisemea tu bila hata kufikiria kabla ya kusema...?
Nimeleta mada hii ili kutoa changamoto ya kufikiri juu ya wajibu wa serikali ktk kutoa huduma bora za kijamii kama vile elimu, afya, usafiri na usafirishaji nk nk kwa wananchi wake...
Si serikali inakusanya kodi kwa kila mtu..??? How comes ishindwe kutoa fedha za uendeshaji kwa shule zake...??
Let's think about. Hoja si nani alisoma wapi, lini na kwa namna gani...!!
3. Nikajiuliza ina maana shule hii anayokwenda kusoma mwanangu haina vitabu? Imekuwaje inaanza kidato cha tano huku ikiwa haina vitabu? Kipi kilipaswa kuanza, majengo au vitabu na walimu kwanza?
Hivi mzazi kama nanunua vitabu vyangu kwa ajili ya mwanangu, si bora asomee nyumbani sasa na siku ya mtihani aende kufanya tu?
Hili wazo lako zuri pia, asomee nyumbani ataenda tu kufanya mitihani, na hao panya chura atawapasua hapo hapo nyumbani na wembe wa topaz.
Na hapo wamekukumbusha tuu, lakini Mimi nilinunua kabla hata ya fomu sijapata na fomu ilipofika hapakuwa na sehemu ya kitabu1. Mwanangu amechaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita (F. V & VI) mwaka huu 2021 Shule ya Sekondari Nyantakara katika tahususi (Combination) ya Chemistry, Biology & Geography (CBG) iliyoko wilaya ya Biharamulo mkoa wa Kagera. Hii ni shule ya serikali ya Tanzania.
2. Licha ya orodha ya mahitaji mengi anayotakiwa aende nayo mfano; fagio wa kufagilia ndani, sabuni ya maji ya chooni, fagio wa kufagilia nje, ream ya kataratasi nk nk, lipo hili ambalo mimi limeniacha hoi hata kujiuliuza kulikoni hizi shule za serikali? Nimeambiwa nimnunulie mwanangu
[A.] Vitabu yote vya tahasusi (subject combinations) anayokwenda kusoma yaani CBG & Basic Applied Maths
[B.] Dissecting Kit ya somo la Bailojia
3. Nikajiuliza ina maana shule hii anayokwenda kusoma mwanangu haina vitabu? Imekuwaje inaanza kidato cha tano huku ikiwa haina vitabu? Kipi kilipaswa kuanza, majengo au vitabu na walimu kwanza? Hivi mzazi kama nanunua vitabu vyangu kwa ajili ya mwanangu, si bora asomee nyumbani sasa na siku ya mtihani aende kufanya tu?
4. Nimelileta humu tujadiliane ili tujue majigambo ya serikali kuwa imeboresha elimu Tanzania, yana maana gani kama hali iko hivi ktk shule zake?
4. Naambatanisha na Joining instructions ya shule kwa ajili ya ushahidi na reference zaidi kwa atakayetaka kuthibitisha maelezo yangu.
5. Honestly, baada ya kuipata hii fomu ya maelekezo, nimeanza kusaka fedha tu na kufikiri kumpeleka shule ya binafsi.
View attachment 1829765View attachment 1829766View attachment 1829769
Kama unajadili kitu unachokielewa, hebu jibu maswali yafuatayo kwa ufasaha;Kuwa na vitabu ni basic needs za mwanafunzi. Hata kama unalipa Kodi lakini sio kila kitu service itatolewa bure na serikali. Kitabu, madaftari , pencil , pen hizo ni basics needs .
Jeshi siyo shule. BTW mimi nimpinga complication zisizo na lazima. Sipingi kununua vifaa. Karne ya leo unawaambia watoto wabebe majembe na makorokoro kibao yaliyopitwa na wakati kwenye dunia ya leo!
This is not my point. Hiki ulichokiandika mimi nakielewa zaidi pengine kuliko wewe unavyoelewa...Na hapo wamekukumbusha tuu, lakini Mimi nilinunua kabla hata ya fomu sijapata na fomu ilipofika hapakuwa na sehemu ya kitabu
Advance wanafunzi ni wengi science, so sometimes kunakuwa na upungufu hasa biology na chemistry kwenye practical That's why, sometime wanaagiza vitu kama dissecting kit ili imuwie rahisi mtoto wako mwenyewe, Kuna Muda mtu mwenyewe unahitaji kuinunua ukiwa shuleni Kwa sababu ya upungufu.
So ni matumizi na faida Kwa mtoto wako na akimaliza atavirudisha sio kwamba shule itamnyang' anya.