Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda, kauli yako ya kufunga Shule ni kama imedharauliwa au haijasikika. Chukua Kipaza Sauti

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,484
Reaction score
2,852
Hii tabia ya watendaji wa Elimu kutotii maagizo ya boss wao either ni ishara ya dharau au ni kushindwa kutii maagizo kwa makusudi. Sisi wazazi tunasubiri watoto wetu kurejea nyumbani alafu wanatokea maafisa Elimu na wakuu wa dhule wasio na nidhamu kwa maboss wao kwa makusudi wanaamua kuwakatalia watoto wetu shuleni.

Hizi shule za binafsi Wana sababu Mfu kuwa watoto wakirudi nyumbani et huwa wanazurura tu. Hii ni dhana ya hovyo kabisa maana wazaz wengine husubiri watoto warudi likizo ili wafundishwe maadili ya kifamilia na kijamii kulingana na ukuaji wao wa akili na mwili.

Wanadai kuwa wazazi huwa wanaridhia. Sio kweli bali wazazi hupewa tu taarifa ya mipango Yao na pale wazazi tunapoitwa huwa km ni kupokea tu agizo kutoka kwa uongozi wa shule. Na km wanaona wakija likizo watazurura basi wawe wanawapatia assignments ili wafanye wawapo makwao. Kinyume na hapo si tu kuwa wanawafanyia watoto ukatili wa kiakili bali wanatunyanyasa wazazi kwa kukosa fursa ya kukaa na kuongea na watoto wetu kadri ya mabadiliko ya miili yao.

Hivi Wizara wakati wanaweka mihula hawa wanaokaidi wanadhani wao walikuwa wajinga. Hakuna elimu Wala kazi isiyo na mapumziko. Hata hao Walimu wanahitaji kupumzika, siyo maroboti. Inafikia wakati watoto wengine wanaenda shule kabla ya kuvunja ungo, wanakaa huko hadi wanavunja ungo na hatimae kukosa taulo za kike.

Hii hali inakera sn, ebu Waziri wa Elimu tumia kipaza sauti ili tuone wapi panavuja.
 
Kamchue mwanao hawatakuzuia. Mimi wangu atabaki shule!
Double standards. Halafu kesho mambo yakienda vibaya, tunamlaumu nani? watoto gani hawapumziki kusoma? Wanachosoma ni nini? Africa ingekuwa mbali sana kama kusoma kwa nguvu hizi kungekuwa kunalipa. Lazima watito waandalie kwa uangalifu mkubwa, ili waweze kuzimudu changamoto zilizopo na zitakazo kuja.
Kwani kila mtoto lazima apate Division one? Ukilaza uliopitiliza
 
wacha ujamaa wakishamba duniani na ahera kote hakuna usawa
 
Nchi ya matamko yasiyotekelezeka. Katazo la boarding Schools za watoto liliishia wapi?
 
Double standards. Halafu kesho mambo yakienda vibaya, tunamlaumu nani? watoto gani hawapumziki kusoma? Wanachosoma ni nini? Africa ingekuwa mbali sana kama kusoma kwa nguvu hizi kungekuwa kunalipa. Lazima watito waandalie kwa uangalifu mkubwa, ili waweze kuzimudu changamoto zilizopo na zitakazo kuja.
Kwani kila mtoto lazima apate Division one? Ukilaza uliopitiliza
Naomba kurudia, ukiona mwanao anahitaji hayo uliyoyaorodhesha kamchue hawatomng'ang'ania.
Halafu hapo mwisho unamaanisha mimi ni kilaza?
 
Hii tabia ya watendaji wa Elimu kutotii maagizo ya boss wao either ni ishara ya dharau au ni kushindwa kutii maagizo kwa makusudi. Sisi wazazi tunasubiri watoto wetu kurejea nyumbani alafu wanatokea maafisa Elimu na wakuu wa dhule wasio na nidhamu kwa maboss wao kwa makusudi wanaamua kuwakatalia watoto wetu shuleni.

Hizi shule za binafsi Wana sababu Mfu kuwa watoto wakirudi nyumbani et huwa wanazurura tu. Hii ni dhana ya hovyo kabisa maana wazaz wengine husubiri watoto warudi likizo ili wafundishwe maadili ya kifamilia na kijamii kulingana na ukuaji wao wa akili na mwili.

Wanadai kuwa wazazi huwa wanaridhia. Sio kweli bali wazazi hupewa tu taarifa ya mipango Yao na pale wazazi tunapoitwa huwa km ni kupokea tu agizo kutoka kwa uongozi wa shule. Na km wanaona wakija likizo watazurura basi wawe wanawapatia assignments ili wafanye wawapo makwao. Kinyume na hapo si tu kuwa wanawafanyia watoto ukatili wa kiakili bali wanatunyanyasa wazazi kwa kukosa fursa ya kukaa na kuongea na watoto wetu kadri ya mabadiliko ya miili yao.

Hivi Wizara wakati wanaweka mihula hawa wanaokaidi wanadhani wao walikuwa wajinga. Hakuna elimu Wala kazi isiyo na mapumziko. Hata hao Walimu wanahitaji kupumzika, siyo maroboti. Inafikia wakati watoto wengine wanaenda shule kabla ya kuvunja ungo, wanakaa huko hadi wanavunja ungo na hatimae kukosa taulo za kike.

Hii hali inakera sn, ebu Waziri wa Elimu tumia kipaza sauti ili tuone wapi panavuja.
Viongozi wa wizara wanajua jinsi shule za private mahali zimewabana kiasi hawawezi wabananisha.. Ila kosa kubwa pia ni kukosa umoja dhabiti wa wazazi... Maana Kuna wazazi awapendi majukumu wala fujo za watoto, hawa jua kuwaona akikua na kua active inampa raha kama mzazi pia anapata nafasi ya kujua mtoto wake.. Tofauti na wakati wakienda shule runarudi unawakuta wamelala. Wazazi wa namna hii ndio huja kugundua watoto wa nafanyiwa ukatili wakati mambo yashaharibika, pia watoto hawana muda wa kuchezea na kufresh mind baada ya msongo wa masomo wa term nzima... Kitu ambacho hum fanya mtoto Kuchoka shule mapema. Kazi ama majukumu ya nyumbani ndio kabisaaa watoto hawajui kufuta, kupika nk. Alafu unakuta wazazi wanaunga mkono ukatili huu wa ma shule na Wizara yao...
 
Mzazi unatakiwa uwe na msimamo, likizo mtoto asibaki shule, wambie huna pesa.
Tusiishi maisha kama kukaa darasani ndo kitu pekee twaweza.

Maisha yana mengi mazuri kuliko kuwa na Division 1
 
Hii tabia ya watendaji wa Elimu kutotii maagizo ya boss wao either ni ishara ya dharau au ni kushindwa kutii maagizo kwa makusudi. Sisi wazazi tunasubiri watoto wetu kurejea nyumbani alafu wanatokea maafisa Elimu na wakuu wa dhule wasio na nidhamu kwa maboss wao kwa makusudi wanaamua kuwakatalia watoto wetu shuleni.

Hizi shule za binafsi Wana sababu Mfu kuwa watoto wakirudi nyumbani et huwa wanazurura tu. Hii ni dhana ya hovyo kabisa maana wazaz wengine husubiri watoto warudi likizo ili wafundishwe maadili ya kifamilia na kijamii kulingana na ukuaji wao wa akili na mwili.

Wanadai kuwa wazazi huwa wanaridhia. Sio kweli bali wazazi hupewa tu taarifa ya mipango Yao na pale wazazi tunapoitwa huwa km ni kupokea tu agizo kutoka kwa uongozi wa shule. Na km wanaona wakija likizo watazurura basi wawe wanawapatia assignments ili wafanye wawapo makwao. Kinyume na hapo si tu kuwa wanawafanyia watoto ukatili wa kiakili bali wanatunyanyasa wazazi kwa kukosa fursa ya kukaa na kuongea na watoto wetu kadri ya mabadiliko ya miili yao.

Hivi Wizara wakati wanaweka mihula hawa wanaokaidi wanadhani wao walikuwa wajinga. Hakuna elimu Wala kazi isiyo na mapumziko. Hata hao Walimu wanahitaji kupumzika, siyo maroboti. Inafikia wakati watoto wengine wanaenda shule kabla ya kuvunja ungo, wanakaa huko hadi wanavunja ungo na hatimae kukosa taulo za kike.

Hii hali inakera sn, ebu Waziri wa Elimu tumia kipaza sauti ili tuone wapi panavuja.
Pesa mbaya sana! Hapo hawajali kama wanamjaza mtoto maarifa kichwani au wanamkaririsha maswali na majibu ya vitabu vilivyoandikwa karne 20 zilizopita ambayo kwa uhalisia haimsaidii huyo mtoto chochoote zaidi ya kuja kugongea ajira baadae kwa wenzao waliokuwa busy na kilimo na biashara na bunifu nyingine!
 
Hii tabia ya watendaji wa Elimu kutotii maagizo ya boss wao either ni ishara ya dharau au ni kushindwa kutii maagizo kwa makusudi. Sisi wazazi tunasubiri watoto wetu kurejea nyumbani alafu wanatokea maafisa Elimu na wakuu wa dhule wasio na nidhamu kwa maboss wao kwa makusudi wanaamua kuwakatalia watoto wetu shuleni.

Hizi shule za binafsi Wana sababu Mfu kuwa watoto wakirudi nyumbani et huwa wanazurura tu. Hii ni dhana ya hovyo kabisa maana wazaz wengine husubiri watoto warudi likizo ili wafundishwe maadili ya kifamilia na kijamii kulingana na ukuaji wao wa akili na mwili.

Wanadai kuwa wazazi huwa wanaridhia. Sio kweli bali wazazi hupewa tu taarifa ya mipango Yao na pale wazazi tunapoitwa huwa km ni kupokea tu agizo kutoka kwa uongozi wa shule. Na km wanaona wakija likizo watazurura basi wawe wanawapatia assignments ili wafanye wawapo makwao. Kinyume na hapo si tu kuwa wanawafanyia watoto ukatili wa kiakili bali wanatunyanyasa wazazi kwa kukosa fursa ya kukaa na kuongea na watoto wetu kadri ya mabadiliko ya miili yao.

Hivi Wizara wakati wanaweka mihula hawa wanaokaidi wanadhani wao walikuwa wajinga. Hakuna elimu Wala kazi isiyo na mapumziko. Hata hao Walimu wanahitaji kupumzika, siyo maroboti. Inafikia wakati watoto wengine wanaenda shule kabla ya kuvunja ungo, wanakaa huko hadi wanavunja ungo na hatimae kukosa taulo za kike.

Hii hali inakera sn, ebu Waziri wa Elimu tumia kipaza sauti ili tuone wapi panavuja.
Huku kwetu sek zote za gv zmefngwa
 
Back
Top Bottom