Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Unajibu kirahisi tu.Kiunoni unao watoto bado?kama unaona 1500 kubwa usitoe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajibu kirahisi tu.Kiunoni unao watoto bado?kama unaona 1500 kubwa usitoe.
By that response, it is most likely wewe ni mwalimu wa primary 😀 😀 😀 😀Mzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"
Pia usisahau kwenye vikao vya wazazi chukua mic sema hautaki hiyo mitihani haukubaliani na hilo swala hivyo hautatoa pesa
La pili nae ana mitihani 😳😳😳 hii balaa, mpeleke mwanao shule za maana achana na chaurembo shule ya msingi 😹Mtoto wa darasa la pili anachangia 2000 kwa mitihani miwili(copies) yenye gharama halisi ya urudufishaji ni Tsh 200 unaona ni sawa?
Uko wapiiii mzazi.....😹U
By that response, it is most likely wewe ni mwalimu wa primary 😀 😀 😀 😀
Tunawaepusha ninyi walimu wa "Nyamhongolo" msifikishwe jela kwa kuua watoto wa wenyewe kwa madai ya buku bee.Shauri yenu.Mtoto akirudi nyumbani muulize shuleni hali ikoje nini kinaendelea, kama kafanyiwa kisa muulize huyo mwalimu.....kisha kaonane na mwalimu uso kwa jicho, mwanao afanyiwe ndivyo sivyo unaogopa?
Akihitaji zaidi uthibitisho tuwasiliane nami nitakuongezea.Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa
Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
umeniwahi na hii comment 😀 😀 😀 😀 tena itakuwa ticha wa Uraia na Kiswahili.U
By that response, it is most likely wewe ni mwalimu wa primary 😀 😀 😀 😀
Unasubiri majibu hapa online??? Wahi shule wewe walimu wanatafuna buku jero yako 🤣🤣🤣🤣🤣Hili jambo huwa linanitafakarisha sana.Majibu ni muhimu.Asubuhi hii nimeshaumizwa.
Usiwe serious sana na maisha yaani unaona shida hata mwalimu Alibaba hiyo 700.Mtoto wa darasa la pili anachangia 2000 kwa mitihani miwili(copies) yenye gharama halisi ya urudufishaji ni Tsh 200 unaona ni sawa?
Utaona ni utani.Ninawakilisha kijiji changu chote hapa "Bitaraguru".Hadi darasa la kwanza wanafanya mitihani kila wiki.La pili nae ana mitihani 😳😳😳 hii balaa, mpeleke mwanao shule za maana achana na chaurembo shule ya msingi 😹
Simple kabisa. Tuna watu wanapenda sana kudekezwa. No wonder some guys huko nje wanatuona kituko. Au akae na huyo mtoto amtungie mitihani homeMzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"
Pia usisahau kwenye vikao vya wazazi chukua mic sema hautaki hiyo mitihani haukubaliani na hilo swala hivyo hautatoa pesa
Si aje awe mchepuko wangu kama anazipenda ndururu zangu.Mengine aniachie ntaongea na paroko wangu.Usiwe serious sana na maisha yaani unaona shida hata mwalimu Alibaba hiyo 700.
Lakini bar, michepuko, Kwa manabii, pesa mnatoa
Kumpa mwalimu tip unafungua Uzi ili abanwe umharibie kazi.
Sasa kama mtoto mitihani kafanya tatizo nini
1500 × 100 = 150,000Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Makubwaaaa......walimu wameamua 🤣🤣🤣🤣Utaona ni utani.Ninawakilisha kijiji changu chote hapa "Bitaraguru".Hadi darasa la kwanza wanafanya mitihani kila wiki.
Msipende kuchukulia kila kitu kiwepesi ndiyo maana tunatukanwa kila siku kwa kutokuwa wafuatiliaji kama nchi.Kila kitu kuibiwa tu.Simple kabisa. Tuna watu wanapenda sana kudekezwa. No wonder some guys huko nje wanatuona kituko. Au akae na huyo mtoto amtungie mitihani home
Nenda kawambie Sasa walimuuza mtoto wako hutak afanye mitihani kwamba 1500 yako ni nyingi,Si aje awe mchepuko wangu kama anazipenda ndururu zangu.Mengine aniachie ntaongea na paroko wangu.
Mpenzi wangu Evelyn Salt acha kazi ya ualimu nikupe mchongo mwingine. Wewe ni mwalimu safi unaponzwa na wenzako.Huo utaratibu wa kupiga watoto hata mie siupendi kwakweli unanikwaza sanaaa ndio wazazi msimame sasa.....sio kuandika tu huku watoto wakati wenu wanaoga fimbo
🤣🤣🤣🤣Tunawaepusha ninyi walimu wa "Nyamhongolo" msifikishwe jela kwa kuua watoto wa wenyewe kwa madai ya buku bee.Shauri yenu.
Kuwa muelewa wewe.Tunapoandika hivi,hatuandiki kwa ajili ya watoto wetu tu.Hii inashuka hadi kwa watoto wa familia zenye uchumi mwembamba zaidi ya tishu.Hao ndiyo hasa wanazungumziwa.Uwe unachukulia mambo kwa upana.Usichukulie kama tunanunuliana kimbo za rubisi kwa fujo kilabuni.Nenda kawambie Sasa walimuuza mtoto wako hutak afanye mitihani kwamba 1500 yako ni nyingi,
Sisi wazazi wengine pesa tutatoa, wewe msiburi waziri wa elimu akujibu apige marufuku majaribio na mitihani shuleni ikiwa watoto wake wako international school 🎒
Mpenzi wangu Evelyn Salt acha kazi ya ualimu nikupe mchongo mwingine. Wewe ni mwalimu safi unaponzwa na wenzako.