Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda: Wazazi muwe makini na mafunzo yanayotolewa kwa Watoto kuhusu masuala ya imani

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Your browser is not able to display this video.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameelekeza mafunzo ya Dini Shuleni yatolewe kwa kufuata miongozo na mitaala iliyopitishwa na pia kuridhiwa na Viongozi wa Dini.

Prof. Mkenda awaasa Wazazi kuwa makini na mafunzo yanayotolewa kwa watoto kuhusu masuala ya imani.

Amesema hayo jijini Mwanza akifungua Mafunzo kwa Maafisa Elimi Kata kuhusu miongozo ya uendeshaji na usimamizi wa Vituo vya Walimu (TRC's) pamoja na matumizi ya TEHAMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…