robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 842
- 1,425
wakati wewe unalalamika na kuona ni ulimbukeni kuna mavyuo huko dunia ya kwanza wameshasahau kitu kinachoitwa hard copy na daftari kila kitu ni soft copy.. huwezi shindana na technology hii dunia inachange hatuwezi kurudi nyuma.Kuna tatizo la ufundishaji ktk vyuo vyetu. Najisikia vibaya kwamba tunalaumiwa kwa kutopenda kusoma vitabu lakini kuna uzembe kwa wafundishaji wetu ktk vyuo na hata sekondari kwa sasa. Kuna mtindo wa kutumia simu za mkononi kuandika notisi badala ya kuwashawishi wanafunzi kusoma vitabu, Mtindo huu siyo mzuri na sijui ni kwa kiasi gani wizara imnaweza kuingilia kati. Tumekuwa malimbukeni wa teknolojia kwa kiasi kikubwa sana.
Tatizo la kwanza je hivo vitabu vinapatikana mashuleni???Unakuta shule hata kitabu Cha kufundishia Cha mwalimu hakuna ,Je hivo vya kusomea wanafunzi vitapatikana?? Acha tu watumie izo simu,???Nikuomba tu serikali yetu itoe vitabu na vitu mbalimbali kwa ajiri ya kufundishia au kujisomeaKuna tatizo la ufundishaji ktk vyuo vyetu. Najisikia vibaya kwamba tunalaumiwa kwa kutopenda kusoma vitabu lakini kuna uzembe kwa wafundishaji wetu ktk vyuo na hata sekondari kwa sasa. Kuna mtindo wa kutumia simu za mkononi kuandika notisi badala ya kuwashawishi wanafunzi kusoma vitabu, Mtindo huu siyo mzuri na sijui ni kwa kiasi gani wizara imnaweza kuingilia kati. Tumekuwa malimbukeni wa teknolojia kwa kiasi kikubwa sana.
Notisi ndio mdudu gani ?? Au unamaanisha Notes.Kuna tatizo la ufundishaji ktk vyuo vyetu. Najisikia vibaya kwamba tunalaumiwa kwa kutopenda kusoma vitabu lakini kuna uzembe kwa wafundishaji wetu ktk vyuo na hata sekondari kwa sasa. Kuna mtindo wa kutumia simu za mkononi kuandika notisi badala ya kuwashawishi wanafunzi kusoma vitabu, Mtindo huu siyo mzuri na sijui ni kwa kiasi gani wizara imnaweza kuingilia kati. Tumekuwa malimbukeni wa teknolojia kwa kiasi kikubwa sana.
Katika Mawaziri Rais Magufuli aliowarudisha kwenye awamu yake ya pili, ambao wame-perform vibaya Ndalichako ni among them.To me Wizara ya Elimu is the worst performing.Mimi kama mdau wa elimu, nilitegemea major reforms kwenye elimu, lakini hakuna reforms zozote,Waziri amelala tu.Kwa uchache nilitegemea reforms zifuatazo:Kuna tatizo la ufundishaji ktk vyuo vyetu.
Najisikia vibaya kwamba tunalaumiwa kwa kutopenda kusoma vitabu lakini kuna uzembe kwa wafundishaji wetu ktk vyuo na hata sekondari kwa sasa.
Kuna mtindo wa kutumia simu za mkononi kuandika notisi badala ya kuwashawishi wanafunzi kusoma vitabu, Mtindo huu siyo mzuri na sijui ni kwa kiasi gani wizara imnaweza kuingilia kati.
Tumekuwa malimbukeni wa teknolojia kwa kiasi kikubwa sana.
Mbona ni msg ya kiswahili cha kawaida au ndo matokeo ya elimu hiyo hiyo?Notisi ndio mdudu gani ?? Au unamaanisha Notes.
Nadhani nawe unakuwa limbukeni wa hiyo dunia unayotaja. Msg inazungumzia mbinu za elimu na matatizo ya waalimu. Kuna sababu gani kutuma notes kwenye simu ya mkononi kwa mtoto wa sekondari? Hii pia nimeiona kwa baadhi ya shule. Vijana wasome vitabu kujenga akili!! Simple!wakati wewe unalalamika na kuona ni ulimbukeni kuna mavyuo huko dunia ya kwanza wameshasahau kitu kinachoitwa hard copy na daftari kila kitu ni soft copy.. huwezi shindana na technology hii dunia inachange hatuwezi kurudi nyuma.
Umasikini ni chanzo cha maovu yote, hatuwezi kuwa na elimu bora kama umasikini unaendelea kuzidi kwenye jamii, waalimu hata kwenye shule binafsi hawana maarifa ya kufundisha, wanapiga watoto na kuwalazimisha kukariri, hili ni janga kubwa sana, Tuige China wamebadilisha vyuo vikuu vingi kuwa vyuo vya ufundi ili watoto watoke na ujuzi na sio kukariri vitabu, ndio maana tuna wapiga kelele wengi lakini hatuna watu wa kufanya vitendo ili vitu vitokee.Kuna tatizo la ufundishaji ktk vyuo vyetu.
Najisikia vibaya kwamba tunalaumiwa kwa kutopenda kusoma vitabu lakini kuna uzembe kwa wafundishaji wetu ktk vyuo na hata sekondari kwa sasa.
Kuna mtindo wa kutumia simu za mkononi kuandika notisi badala ya kuwashawishi wanafunzi kusoma vitabu, Mtindo huu siyo mzuri na sijui ni kwa kiasi gani wizara imnaweza kuingilia kati.
Tumekuwa malimbukeni wa teknolojia kwa kiasi kikubwa sana.
Uko sahihi!! Sijawahi sikia nchi inayotegemea shule binafsi kuleta ubora wa elimu. Hizi shule za binafsi zimeachiwa na kuwa ni sehemu ya burudani kwa wtoto badala ya kusoma, tangu mwanzo. Wazazi nao wamekuwa limbukeni wa gharama kubwa kiasi sasa wanashindwa hata kulipa na kufanywa ni watu wa kutaniwa mitandaoni.Katika Mawaziri Rais Magufuli aliowarudisha kwenye awamu yake ya pili, ambao wame-perform vibaya Ndalichako ni among them.To me Wizara ya Elimu is the worst performing.Mimi kama mdau wa elimu nilitegemea major reforms kwenye elimu lakini hakuna reform yeyote,Waziri amelala tu.Kwa uchache nilitegemea reforms zifuatazo:
1.Uniformity kwenye elimu in terms of facilities,quality and school fees.Sioni sababu kwa mfano kwa nini kuwe na shule zinazolipa 20m na nyingine 250,000/=!Nilitegemea kuona masterplan ya kufanya elimu yetu ielekee huko,sioni.
2.Quality of teachers enhancement.Waalimu wengi tulionao sasa hawakidhi haja kabisa.Kulipaswa kuwe na programme ya kuwa-phase out na slowly kuingiza qualified and better paid teachers.Waalimu wawe na salary scales zao.Anybody below Division II asiwe-entertained Wizara ya Elimu kabisa.
3.Mitaala na vitabu vya kufundishia ni vibovu mno.Programme ya makusudi inatakiwa iwe instituted, ili kuboresha eneo hili.No wonder wahitimu wetu ni vihiyo sana .
4.Elimu yetu haiwaandai vijana kujiajiri,inawaandaa kuajiariwa,this should be changed. Hata hivyo sioni mkakati wowote wa kupeleka elimu yetu huko.
Kuna nidhamu kwenye kujifunza, sim ina apps nyingi sana kwa hio lazima itasababisha mwanafunzi akili yake istulie, na hata hizo computer, internate za vyuo wanazuia vitu vingine kama social media ili wanafunzi wawe na utulive.Nadhani nawe unakuwa limbukeni wa hiyo dunia unayotaja. Msg inazungumzia mbinu za elimu na matatizo ya waalimu. Kuna sababu gani kutuma notes kwenye simu ya mkononi kwa mtoto wa sekondari? Hii pia nimeiona kwa baadhi ya shule. Vijana wasome vitabu kujenga akili!! Simple!
Secta binafsi ndio uti wa mgongo wa elimu na uchumi haipingiki duniani kote, na hata hizo nchi zilizoendelea shule na vyuo vingi ni vya binafsi, serekali inatakiwa iwe na shule zake ila haiwezi tosheleza mahitaji ya jamii, Kazi kubwa ya serikali ni kuweka regulations na inspection ya hizo shule na vyuo binafsi ili kuhakikisha wanatoa huduma kama ilivyoagizwa na serikali. kama hakuna ushindani hakuna maendeleoUko sahihi!! Sijawahi sikia nchi inayotegemea shule binafsi kuleta ubora wa elimu. Hizi shule za binafsi zimeachiwa na kuwa ni sehemu ya burudani kwa wtoto badala ya kusoma, tangu mwanzo. Wazazi nao wamekuwa limbukeni wa gharama kubwa kiasi sasa wanashindwa hata kulipa na kufanywa ni watu wa kutaniwa mitandaoni.
Elimu ni mfumo na lazima ihakikiwe. Mjinga mmoja anakuja ana kuanza kufundisha ujinga kwa gharama ya milioni 7 huku wazazi wakijionesha wanaweza. Kuna shule za msingi wanaajili waalimu wenye digrii ya chuo kikuu . wakati wizara inaelewa watu hao hawajafundishwa kufundisha watoto wa umri huo. Nonsense!
Wazazi wengi ni vihiyo sana mkuu ni kweli.Ni lazima wazazi wadai elimu bora and affordable.Kushindana kupeleka watoto kwenye expensive schools synonymous to Holiday Inns ni kweli ni stupid il adviced and unnecessary .Elimu ingeweza kutolewa tena nzuri tu kwenye affordable and reasonable fees.Wizara ya Elimu inapaswa kwa makusudi kabisa kushuhulikia swala.Kwa jinsi mambo yalivyo sasa tunajenga matabaka ambayo ni uncalled for. Wizara inapaswa kuingilia kati na kusaidia wazazi wasiojitambua na wasio na ufahamu wa swala hiliUko sahihi!! Sijawahi sikia nchi inayotegemea shule binafsi kuleta ubora wa elimu. Hizi shule za binafsi zimeachiwa na kuwa ni sehemu ya burudani kwa wtoto badala ya kusoma, tangu mwanzo. Wazazi nao wamekuwa limbukeni wa gharama kubwa kiasi sasa wanashindwa hata kulipa na kufanywa ni watu wa kutaniwa mitandaoni.
Elimu ni mfumo na lazima ihakikiwe. Mjinga mmoja anakuja ana kuanza kufundisha ujinga kwa gharama ya milioni 7 huku wazazi wakijionesha wanaweza. Kuna shule za msingi wanaajili waalimu wenye digrii ya chuo kikuu . wakati wizara inaelewa watu hao hawajafundishwa kufundisha watoto wa umri huo. Nonsense!
Umasikini nao ni chanzo cha kutokidhi viwango.Umasikini ni chanzo cha maovu yote, hatuwezi kuwa na elimu bora kama umasikini unaendelea kuzidi kwenye jamii, waalimu hata kwenye shule binafsi hawana maarifa ya kufundisha, wanapiga watoto na kuwalazimisha kukariri, hili ni janga kubwa sana, Tuige China wamebadilisha vyuo vikuu vingi kuwa vyuo vya ufundi ili watoto watoke na ujuzi na sio kukariri vitabu, ndio maana tuna wapiga kelele wengi lakini hatuna watu wa kufanya vitendo ili vitu vitokee.
We ni mtaalamu wa elimu? Hakuna aliyekataa kutumia simu ya mkononi kuwasiliana na marafiki na ndugu. Ukiigeuza simu kuwa ni chombo cha kufundishia vijana wadogo, huo ni udhaifu wa akili. Kuamini simu inaweza kukusaidia kufundishia watoto ni dalili za umaskini, yaani umepata kitu kidogo sasa unataka kuwaonesha wengine kwamba nimefuzu.Akuna aliekaa akapingana na wakati akashinda.
Huwezi pingana na ujio wa sayansi na tekinolojia kwa kila nyanja ukategemea kushinda.
Ilitakiwa kwanza hizi simu janja iwe sehemu ya vifaa mwanafunzi wa sekondari anapaswa awe nacho.
Ndugu zangu tumekwishachelewa saana wenzetu wanawaza namna ya kufanya watoto waendane na matakwa ya dunia, sisi tunalazimisha nyakati za chaki na daftari[emoji16][emoji16][emoji16]