kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
Kwani notes kwa kiswahili ndiyo notisi?? Acha upimbiMbona ni msg ya kiswahili cha kawaida au ndo matokeo ya elimu hiyo hiyo?
Kwani notes kwa kiswahili ndiyo notisi?? Acha upimbiMbona ni msg ya kiswahili cha kawaida au ndo matokeo ya elimu hiyo hiyo?
nakuunga mkono 100 kwa 100. Angekuwepo waziri kama Jafo au prof Mbarawa tungeshaona mambo kwa utofauti.Katika Mawaziri Rais Magufuli aliowarudisha kwenye awamu yake ya pili, ambao wame-perform vibaya Ndalichako ni among them.To me Wizara ya Elimu is the worst performing.Mimi kama mdau wa elimu, nilitegemea major reforms kwenye elimu, lakini hakuna reforms zozote,Waziri amelala tu.Kwa uchache nilitegemea reforms zifuatazo:
1.Uniformity kwenye elimu in terms of facilities,quality and school fees.Sioni sababu kwa mfano kwa nini kuwe na shule zinazolipa 20m na nyingine 250,000/=! Kiukweli nilitegemea kuona masterplan ya kufanya elimu yetu iwe uniform,lakini sijaona.
2.Quality of teachers enhancement:Waalimu wengi tulionao sasa hawakidhi haja kabisa.Kulipaswa kuwe na programme ya kuwa-phase out wasio na weledi appropriate na slowly tuingize qualified and better paid teachers.Sijaona mkakati wowote kuelekea huko.
3.Salary scales:Kama tunataka waalimu kuwa na morale ya kufundisha,ni vema Waalimu wakawa na na salary scales zao.Hapa napo sijaona mkakati!
4.Qualifications:Iwe mandatory kwamba kwa mtu kuwa mwalimu,ni lazima Form IV awe amepata Division I or II or else asiwe-entertained Wizara ya Elimu kabisa.Pamoja na unyeti wa swala hili,so far no initiative.
5.Mitaala na vitabu vya kufundishia ni vibovu mno.Kunatakiwa kuwe na programme ya makusudi, ili kuboresha eneo hili.So far sijaona chochote.No wonder wahitimu wetu ni vihiyo sana .
6.Elimu yetu haiwaandai vijana kujiajiri,inawaandaa kuajiariwa,this should be changed. Hata hivyo sioni mkakati wowote wa kupeleka elimu yetu huko.
Frankly sioni kwa nini huyu mama yupo,we need a better person in terms of ubunifu.
Vyuo vya binafsi ni sawa kwa sababu hao ni watu wazima. Lakini Primary education ni sehemu ya social service, duniani kote hutolewa na serikali. Ukijifanya kuitegemea sekta binafsi unaelekea kuzimu. Hadi leo nchi ya Uingereza elimu ya heshima iko kwa shule za serikali, siyo binafsi. Finland iliyo mbali kielimu kuliko nchi yoyote kwa sasa, elimu inashikiliwa na serikali. Sisi limbukeni, kwa mawazo yako tuendelee na uzembe huo.Secta binafsi ndio uti wa mgongo wa elimu na uchumi haipingiki duniani kote, na hata hizo nchi zilizoendelea shule na vyuo vingi ni vya binafsi, serekali inatakiwa iwe na shule zake ila haiwezi tosheleza mahitaji ya jamii, Kazi kubwa ya serikali ni kuweka regulations na inspection ya hizo shule na vyuo binafsi ili kuhakikisha wanatoa huduma kama ilivyoagizwa na serikali. kama hakuna ushindani hakuna maendeleo
Upimbi ni nini? Sikukulia mitaani.Kwani notes kwa kiswahili ndiyo notisi?? Acha upimbi
Suala la vitabu ni kama suala la mitaala. Kuna wakati tunalazimisha kuhitaji kitabu kipya bila sababu. Sayansi ya sekondari ni ile ile bila kuhitaji kitabu kipya cha mwaka 2020. Hesabu, historia, jiografia zote ni yale yale! Labda civics ndo tunaweza kusema Chama kikuu cha upinzani siyo CUF ni CHADEMA au n.k. Hilo hatuna shida sana. Kuna baadhi anajidai, oooh mitaala imepitwa na wakati ukimuuliza anataka wafundishe mobile phone! Nonsense!Mimi Kama mdau wa elimu naomba nitoe mchango wangu katika hili
1.kwa Sasa Kuna uhaba mkubwa wa vitabu mashule. Hata vitabu vya msingi vya literature ni adimu.
2 .walimu wengi hawajawa active,kwa maana kuwa Mwalimu anatumia notes za 2011 mwaka huu 2021.hili ni Tatizo
3. Hakuna semina za kuwafundisha walimu kwa kuwakumbusha mambo muhimu ya kielimu.
Nini kufanyike?
1 kuwe na application of technology shuleni,mfano kutumia power point technology badala ya machaki na maubao meusi.
2.shule zigawiwe laptop au vifaa vitakavyosaidia kudisplay hizo notes na michoro,ikibidi hata video.
NB:Ili kuireform elimu Yetu iwe ni more technological kuliko sasa.kwa sasa 79%ha walimu hawaandiki notes ubaoni,wanafundisha tu wanawaambia wanafunzi Ndio waandike notes,au wakati mwingine hawatoi kabisa.
Tukumbuke mtaala wa elimu unataka Mwalimu awe na 25% katika kumwezesha Mwanafunzi,75%ni za Mwanafunzi mwenyewe kujiwezesha