Hot bird
Member
- Jan 18, 2021
- 82
- 169
Wewe kama ni student wa Sua,ninajua ni wa ile kozi isiyo na waalimu mnavizia part timers tu haya sema ukweli,practical mnazofanya ni za chuo kikuu au mnafanya tu kumaliza semester?Daah Mungu akusamehe sana kwa uongo ulioandika hapo namba 6.Hivi ni lini tulienda kufanya practical Muslim university[emoji848][emoji119][emoji119][emoji119].
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa hivi hakuna mwalimu hata mmoja wa physics,sema mnasomaje hiyo kozi?,kama yupo weka hapa majina yake.
Haya,mnapata waalimu wazuri mazingira mabaya ya kazi,nani akae hapo?
Halafu uache kunifata Private message,changia hapahapa panatosha.