johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa....... Labda ana kijiji bwashee!Job ndo mambo yake hayo
Hahahaaa umenikumbusha intavyuu moja ya Job aliulizwa kuhusu idadi ya watoto wake aligoma kabisa kutaka bila chenga yani alimkazia mtangazaji sikumbuki vizur alikua nani wa Star Tv akimuhoji nyumbani kwake Ipagala akiwa Naibu Spika. Msimamo wake ulikuwa idadi ya watoto wake ni siri yake
Hata mimi sitaji idadi, unaweza shobokea watoto kumbe umebambikiwa, wanawake sio viumbe wa kawaida kwenye kubambikia watu kesi na kutunza siri. Kwenye masuala ya Watoto aulizwe mama sio baba.Job ndo mambo yake hayo
Hahahaaa umenikumbusha intavyuu moja ya Job aliulizwa kuhusu idadi ya watoto wake aligoma kabisa kutaka bila chenga yani alimkazia mtangazaji sikumbuki vizur alikua nani wa Star Tv akimuhoji nyumbani kwake Ipagala akiwa Naibu Spika. Msimamo wake ulikuwa idadi ya watoto wake ni siri yake
Ndugai alikuwa sahihi kujua Mwanaume ana watoto wangapi subiri akifa .Au hao aliozaa nao huko porini wakifaJob ndo mambo yake hayo
Hahahaaa umenikumbusha intavyuu moja ya Job aliulizwa kuhusu idadi ya watoto wake aligoma kabisa kutaka bila chenga yani alimkazia mtangazaji sikumbuki vizur alikua nani wa Star Tv akimuhoji nyumbani kwake Ipagala akiwa Naibu Spika. Msimamo wake ulikuwa idadi ya watoto wake ni siri yake
Hahahaaa jamii za kiafrika raha sana kuwa MwanaumeNdugai alikuwa sahihi kujua Mwanaume ana watoto wangapi subiri akifa .Au hao aliozaa nao huko porini wakifa
Wengine wanawrza kuwa bado wako matumboni hawajatoka
Hivyo vigumu.kutaja idadi
Umekosa kabisa habari za maana unatuletea utumbo wa Mwigulu?Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amefika bungeni na mke wake pamoja na watoto wake watano.
Mwigullu leo anawasilisha Mpango wa maendeleo wa taifa.
Spika Ndugai amesema hao watoto watano ndio wale wanaojulikana kisheria kwani kimsingi idadi ya watoto wanaijua akina mama.
Source TBC
Ukinizingua Nitakuzingua.
Sasa umefata nini manka?!Hii nayo ni habari?
Mtu ukishakuwa addicted na kupenda kupost post vitu kila siku kuna siku utapost vya chumbani kwako wallah..
πππUkinizingua Nitakuzingua.
Na ndipo jibu la "uchawi upo" linakuja kichwaniKuna watu wanashawishi ujiulize walifikaje fikaje hapo walipo.
Nakumbuka na mm hiyo siku ilikua jpl startv miaka mingi imepita 10yrs hv..aligoma kata katAπ€£Job ndo mambo yake hayo
Hahahaaa umenikumbusha intavyuu moja ya Job aliulizwa kuhusu idadi ya watoto wake aligoma kabisa kutaka bila chenga yani alimkazia mtangazaji sikumbuki vizur alikua nani wa Star Tv akimuhoji nyumbani kwake Ipagala akiwa Naibu Spika. Msimamo wake ulikuwa idadi ya watoto wake ni siri yake
Watoto 5?duu unga kilo hautoshi.Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amefika bungeni na mke wake pamoja na watoto wake watano.
Mwigullu leo anawasilisha Mpango wa maendeleo wa taifa.
Spika Ndugai amesema hao watoto watano ndio wale wanaojulikana kisheria kwani kimsingi idadi ya watoto wanaijua akina mama.
Chanzo: TBC
Ukinizingua Nitakuzingua.
Hao ndio wanaotambulika by Ndugai!Watoto 5?duu unga kilo hautoshi.
Ila Job Mungu anamuona.Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amefika bungeni na mke wake pamoja na watoto wake watano.