Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba atimba Bungeni na familia yake ya mke na watoto watano

Nakumbuka na mm hiyo siku ilikua jpl startv miaka mingi imepita 10yrs hv..aligoma kata katA🤣
Hahahaaa Job bwana yule blai ni noma sana aisee. Ana misimamo yake ukimzingua anakuja na hii suti yake na buti hilo

Au kama unataka kuzidisha umbeya nenda kamuulize Dr. Chilongani kilichompata,mambo ya kufuatiliana hapendi kabisa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…