nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
Its true, Dr. William Mgimwa (Waziri wa Fedha) amefariki. Nimepata habari toka very reliable source.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe..
Polen wafiwa
we nawe acha uswahili..unaposema "reliable source" ni ipi? kuna wattu mnakera humu..
Huyu mgimwa kauwawa sana humu jamvini. Zaidi ya mara5. Sasa sijui leo ndo kafa kweli?
...acha ujinga wewe,huu ni msiba wa mtu ninayemfahamu,na sio kilakitu kitawekwa jamvini,nimeleta taarifa,kama huamini kaa kimya time will tell. Mimi sio watu wa kuja kuleta ujinga kama unavyofikiri...
Nimepokea taarifa ya kusikitisha.
Mzee wetu na mjomba wangu, Dr. William Mgimwa amefariki dunia asubuhi hii