Waziri wa Fedha, ni wakati muhimu wa kukaa na wafanyabiashara wadogo kabla mambo hayajaharibika zaidi

Waziri wa Fedha, ni wakati muhimu wa kukaa na wafanyabiashara wadogo kabla mambo hayajaharibika zaidi

Trable

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2023
Posts
1,781
Reaction score
3,288
Sielewi ni suala la ukadiriaji wa kodi ndio unawafanya TRA wafunge kwa wingi maduka ya wafanya biashara nchini' sielewi labda TRA wana njama za kumkomoa na kumchonganisha mh Rais ili azidi kuchukiwa zaidi, si kwa kufunga biashara kwa kasi ya ajabu kama hiyo.

Lakini, kwani uchumi kwenu ukoje? Kama kunamabadiriko ya kiuchumi mifukoni mwenu, basi mjue hata kwa wafanya biashara mambo ni mabaya zaidi.

Kama ni kulipa mikopo serikali inayokopa, tutailipa tu, lakini ili ilipwe serikali inahitaji kuwa na walipa kodi wengi zaidi na sio kuwapunguza kwa kufungia biashara zao

Waziri wa Fedha na jopo lako, fanyia utafiti hili'.
 
Back
Top Bottom