Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Yahya Ibrahim Hassan Sinwar-a Palestinian politician who has been Hamas leader in the Gaza Strip since February 2017Aisee! Myahudi amepania kuwamaliza wote. Sasa hii ishakuwa ni fursa kwa wale wazee vijana wa kubet. Who is next?
Ila kwa hili ; naona wameukumbatia mzinga wa nyuki.Yaani wavaa vipedo taabu tupu🤣🤣🤣🤣
Myahudi anavyowala vichwa viongozi hawa ni kama vile anacheza candy crush.1. Yahya Ibrahim Hassan Sinwar-a Palestinian politician who has been Hamas leader in the Gaza Strip since February 2017
3. Mohammed Deif is the commanding officer of Hamas’s military wing
4. Khaled Meshaal -a Hamas leader in exile
5. Hassan Nasrallah- Hezbollah leader
Huyo number 3 tushanua na matanga muda tu.1. Yahya Ibrahim Hassan Sinwar-a Palestinian politician who has been Hamas leader in the Gaza Strip since February 2017
3. Mohammed Deif is the commanding officer of Hamas’s military wing
4. Khaled Meshaal -a Hamas leader in exile
5. Hassan Nasrallah- Hezbollah leader
La hasha. Wenzako wana malengo ujue sio eti wanawaua tu. Subiri uuone mwisho wake.Kuua viongozi wa HAMAS hakutamaliza huo mgogoro bali wanaendeleza uchuki itayoendeleza vita.
Hii siyo movie.Tuone mwisho wa move itakuwaje
Mapaka wakatae kutumika.naona wale vigogo wa Hamas wanaliwa vichwa mmoja baada ya mwingine.
Sawa mkuu nimekupata.Laiti ummah wa uislamu wote wangemkubali na kufuata mafundisho adhim ya Imam wetu kipenzi chetu cha dhati haya yote yasingetokea.
Lakini licha ya yote leo kupitia yeye kwa kukana nafsi na kuuliwa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu tumemiminiwa Tawfiq za kutosha. Na tuna uhakika wa jannah na firdaus.
Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.
View attachment 3062374
Titicomb Code 255 Superbug aamina Malaria 2 adriz hydroxo
Huwezi kuwachekea magaidi ukitegemea watakupenda.Kuua viongozi wa HAMAS hakutamaliza huo mgogoro bali wanaendeleza uchuki itayoendeleza vita.
sisi hatushangai leo. Israel wakati wa Black september 1972 ililiiangamiza kundi lao lililokuwa hatari mara nne ya simba mwenye njaa chumbani. Mossad iliwauwa mmoja mmoja mpaka wa mwisho alikuwa Ali hassan salameh aliuwawa mwaka 1981 kwa bomu. Iran na Hamas lazima wajifunze kutumia UNO kudai haki na wala sio Mabavu mabavu ya mauaji kwa raia waso na hatia. kesho utasikia raha nyengine na keshokutwa na mtondo goooo!Ni jambo jema,kazi iendelee.
sera hizo wajukuu wa rebecca hawana kbs. wao sera yao ni TAMBA UONE TUU!Huwezi kuwachekea magaidi ukitegemea watakupenda.
Ni either uwauwe ama wakumalize. Do or die
kweli mkumkuu mkuu baba! Black september lilikuwa kundi kubwa sana na lenye wasomi wazuri sana na well trained terrorist waliosomea patrice Lumumba college Urusi. Gold Mei aliliangamiza lote kwa kuwauwa viongozi wao mmoja mmoja. lumbuka yale mauaji ya july4th 1981 pale tuniasia ali[pouwawa Mohamed al wazir au Abu jihad kwa kupikwa risasi mia name mwilini mbele ya mke na watoto wanne wakiangalia kwa huzuni. Novel yake imetoka nimeisoma mara 124 bila kumaliza hamu ilivyo tamu!Kwa mtaji huo, hamas ni wapuuzi maana kama wangalikuwa na akili, wangewaachia Mateka wote haraka ili Israel wakose sababu ya kuwatwanga
AminLaiti ummah wa uislamu wote wangemkubali na kufuata mafundisho adhim ya Imam wetu kipenzi chetu cha dhati haya yote yasingetokea.
Lakini licha ya yote leo kupitia yeye kwa kukana nafsi na kuuliwa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu tumemiminiwa Tawfiq za kutosha. Na tuna uhakika wa jannah na firdaus.
Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.
View attachment 3062374
Titicomb Code 255 Superbug aamina Malaria 2 adriz hydroxo