Waziri wa Fedha & Uchumi wa Hamas (Abd al-Fattah al-Zari) Afariki kwa Shambulio la Ndege

Waziri wa Fedha & Uchumi wa Hamas (Abd al-Fattah al-Zari) Afariki kwa Shambulio la Ndege

Aisee! Myahudi amepania kuwamaliza wote. Sasa hii ishakuwa ni fursa kwa wale wazee vijana wa kubet. Who is next?
1. Yahya Ibrahim Hassan Sinwar-a Palestinian politician who has been Hamas leader in the Gaza Strip since February 2017
3. Khaled Meshaal -a Hamas leader in exile
4. Hassan Nasrallah- Hezbollah leader
 
1. Yahya Ibrahim Hassan Sinwar-a Palestinian politician who has been Hamas leader in the Gaza Strip since February 2017
3. Mohammed Deif is the commanding officer of Hamas’s military wing
4. Khaled Meshaal -a Hamas leader in exile
5. Hassan Nasrallah- Hezbollah leader
Myahudi anavyowala vichwa viongozi hawa ni kama vile anacheza candy crush.
 
1. Yahya Ibrahim Hassan Sinwar-a Palestinian politician who has been Hamas leader in the Gaza Strip since February 2017
3. Mohammed Deif is the commanding officer of Hamas’s military wing
4. Khaled Meshaal -a Hamas leader in exile
5. Hassan Nasrallah- Hezbollah leader
Huyo number 3 tushanua na matanga muda tu.
 
Laiti ummah wa uislamu wote wangemkubali na kufuata mafundisho adhim ya Imam wetu kipenzi chetu cha dhati haya yote yasingetokea.

Lakini licha ya yote leo kupitia yeye kwa kukana nafsi na kuuliwa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu tumemiminiwa Tawfiq za kutosha. Na tuna uhakika wa jannah na firdaus.

Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.

View attachment 3062374

Titicomb Code 255 Superbug aamina Malaria 2 adriz hydroxo
Sawa mkuu nimekupata.
 
Ni jambo jema,kazi iendelee.
sisi hatushangai leo. Israel wakati wa Black september 1972 ililiiangamiza kundi lao lililokuwa hatari mara nne ya simba mwenye njaa chumbani. Mossad iliwauwa mmoja mmoja mpaka wa mwisho alikuwa Ali hassan salameh aliuwawa mwaka 1981 kwa bomu. Iran na Hamas lazima wajifunze kutumia UNO kudai haki na wala sio Mabavu mabavu ya mauaji kwa raia waso na hatia. kesho utasikia raha nyengine na keshokutwa na mtondo goooo!
 
Kwa mtaji huo, hamas ni wapuuzi maana kama wangalikuwa na akili, wangewaachia Mateka wote haraka ili Israel wakose sababu ya kuwatwanga
kweli mkumkuu mkuu baba! Black september lilikuwa kundi kubwa sana na lenye wasomi wazuri sana na well trained terrorist waliosomea patrice Lumumba college Urusi. Gold Mei aliliangamiza lote kwa kuwauwa viongozi wao mmoja mmoja. lumbuka yale mauaji ya july4th 1981 pale tuniasia ali[pouwawa Mohamed al wazir au Abu jihad kwa kupikwa risasi mia name mwilini mbele ya mke na watoto wanne wakiangalia kwa huzuni. Novel yake imetoka nimeisoma mara 124 bila kumaliza hamu ilivyo tamu!
 
Nitawaeleimisha kwasababu kuna tatizo la uelewa na Israel imefanikiwa sana kupumbaza watu
Kila siku jengo likipigwa na raia kufa IDF inasema imeua Viongozi wa Hamas. Kuanzia October hadi leo, hao Hamas walikuwa na viongozi wangapi?! Ni mbinu hizo zinatumika ili kuhalalisha mauaji katika maeneo ya Raia
 
Laiti ummah wa uislamu wote wangemkubali na kufuata mafundisho adhim ya Imam wetu kipenzi chetu cha dhati haya yote yasingetokea.

Lakini licha ya yote leo kupitia yeye kwa kukana nafsi na kuuliwa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu tumemiminiwa Tawfiq za kutosha. Na tuna uhakika wa jannah na firdaus.

Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.

View attachment 3062374

Titicomb Code 255 Superbug aamina Malaria 2 adriz hydroxo
Amin
 
Back
Top Bottom