Waziri wa Fedha wa Uingereza Bwana Kwasi Kwarteng amepigwa chini rasmi baada ya kuitumikia nafasi ya uwaziri kwa siku 38 tu

Waziri wa Fedha wa Uingereza Bwana Kwasi Kwarteng amepigwa chini rasmi baada ya kuitumikia nafasi ya uwaziri kwa siku 38 tu

butron

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
5,640
Reaction score
7,943
Bwana Kwasi Kwarteng ameondolewa akiwa mkutanoni Washington, Marekani.
image_b9159f6d-b55b-40d5-91a4-c4c6c2c02b2c20221014_180949.jpg
 
Ni waziri wa fedha bwana kwasi kweteng muingereza mwenye asili ya Ghana leo amefutwa kazi rasm akiwa siara nchini marekani ,ikumbukwe kuwa Ni ndani ya mwezi mmoja tu ndio waziri huyu ameweza kutumikia wizara hiyo toka kuteuliwa kwake.

Kisa sa Cha kufutwa kazi imelezwa kuwa Ni kutokana na Sera yake mbovu alizonazo na kudorora kwa uchumi na Hali tete kwa raia wa uingereza. ,

Amefutwa kazi akiwa ziarani nchini marekani na kutakiwa kurejea nyumbani Mara moja.

Huku kwetu Africa waziri anakuwa na Sera mbovu na majibu ya ovyo ya kutishia na kutaka raia wahamie nchi za jirani lakn ajabu waziri bado yupo anatamba tu Wala hawajibiki na Wala kukanusha kauli zake alizo zitoa hadharani kwenye vyombo vya habari bado anachekelewa na kuendelea kupewa ziara mbali mbali hi leo Yuko marekani kwenda kupika ripoti ya banki ya dunia kwamba Tanzania tutafanya vizuri sana ktk mikopo tunayochota huko [emoji848][emoji848]

Africa Ni ngumu Sana kutoboa ndo maana mungu ana kila sababu kutufanya kuzaliwa huku na kututofautisha kwa kila kitu na wenzetu wazungu imagine week tatu tu uanafutwa kazi bila kujali

Alamsiki
 
Aisee huyu waziri inasikitisha yaani yeye alikuwa siku zote anaamini kupunguza government expenditure kumbe soko lina akili tofauti ya kuona government expenditure inapelekea kupunguza shughuli so reaction was bad. Naamini hapa kwetu angekuwa Dkt Magufuli Mwigulu isingechukua siku. Watanzania ni wastaarabu mno Rais Samia wanamsubili 2025 wamtose
 
Yaani raia sisi tumtose mam Samia Hilo halitawezekana kwa Sasa HV ccm wamesha tujulia jinsi ya kutuongozaa hamtaa amini anapita vzr na mwingulu anarud
 
Back
Top Bottom