Waziri wa Fedha wa Uingereza Bwana Kwasi Kwarteng amepigwa chini rasmi baada ya kuitumikia nafasi ya uwaziri kwa siku 38 tu

Tanzania hakuna kuwajibika kwa vile ni maamuzi ya baraza la mawaziri.

Mfano waziri wa ujenzi na uchukuzi hushawishi baraza likubali miradi na sera za wizara, kukutokea tatizo kubwa waziri wa ujenzi na Uchukuzi aliyewashawishi wajumbe wa baraza la mawaziri anatakiwa awajibike.

Vivyo hivyo waziri wa fedha baada ya kushawishiwa na wataalamu wake wa wizarani kisha waziri kwenda ktk baraza la mawaziri ikitokea kelele nyingi kutoafikia maamuzi ya baraza la maziri basi waziri wa fedha hatakiwi kulibebesha baraza lawama kwani walimsikiliza kutokana na ushawishi wake wa kitaalamu.

Mfano wa waziri huyu wa Uingereza kutimuliwa baada ya kelele za wadau wakiwemo wafanyabishara wakubwa kwa wadogo pia raia wa kawaida unapaswa kuigwa Tanzania kwa waziri kujiuzulu au kutimuliwa pale anapoiletea serikali mgogoro wa kiuchumi na kisiasa.

www.washingtonpost.com
U.K.'s Liz Truss fires Kwasi Kwarteng, reverses policies that sank pound


16 minutes ago — British Prime Minister Liz Truss fired her finance minister Kwasi Kwarteng on Oct. 14, and scrapped part of her big unfunded tax cut plans.....
 
Afrika kuna serikali au ni takataka zote. Hamieni Burundi! Shenzi!
 
Watz ni makondoo!
 
Uzuri umeshatambulisha asili ya waziri ni Ghana-Afrika. Roho ya kuvurunda imemvuta. Mshana jr anaweza kuthibitisha
 
Hata huyo Lizz hachukui round. Maisha yamekuwa magumu kwenye nchi za magharibi, wanatafutana uchawi.
Sisi huyu Mwigulu na Samia tumeshawapa guarantee miaka 10 hata kama tutafikia hali ya Ethiopia 1984....

Tumekuwa groomed toka enzi za Mwalimu kuamini kwamba serikali ni kama ufalme wa mbinguni, wanajua kila kitu, wanaweza, na wapo kila mahala na kisichowezekana kutatuliwa na serikali oliyopo madarakani basi hicho hakina utatuzi, na tusihangaike kuwabadilisha.
 
Waingereza wamemuwahi Kwarteng kabla ajawaambia wasio penda sera zake wahamie nchi ya Haiti🤣🤣🤣
 
Kumuondolea raisi kinga ya mashtaka itasaidia sana
 
Yaani raia sisi tumtose mam Samia Hilo halitawezekana kwa Sasa HV ccm wamesha tujulia jinsi ya kutuongozaa hamtaa amini anapita vzr na mwingulu anarud
Upo sahihi mkuu

Halafu jamaa anamsifia maguful angemuwajibisha mwigulu wakati huyo magu mwenyewe alikuwa ni mwizi. Kweli watanzania sisi ni hovyo kabisa.

CCM imeshajua akili zetu na uwezo wetu. Wanafanya lolote lile watakalo.
 
Upo sahihi mkuu

Halafu jamaa anamsifia maguful angemuwajibisha mwigulu wakati huyo magu mwenyewe alikuwa ni mwizi. Kweli watanzania sisi ni hovyo kabisa.

CCM imeshajua akili zetu na uwezo wetu. Wanafanya lolote lile watakalo.
Namshmga San mtu akinimbi eti Samia asubiri 2025 watamtoza Nani kina Nani hkn wakuiangusha ccm madaraka hat viungane vyama vyote ccm anapita ktkt yao huyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…