Ha ha ha ha haaaaaaaaa!!! Kwakweli!Hapana atakuwa anaongelea uvumi wa Bernard Morrison kukosana kocha wa simba, Maulid Kitenge aliripoti huo uvumi halafu Haji Manara akachafua hali ya hewa🙂
🤣 🤣 🤣 🤣 nasikia ku-LIKE ni makosa, na ku-quote ni makosa pia.Zikiwa zile zinazowahusu wao ndiyo makatazo na vitisho zikiwa ni zile zisizowahusu wala hutaona wakisema chochote cha kukemea
Ha ha ha ha wanaenda mpaka kuharamisha calls za WhatsApp[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] nasikia ku-LIKE ni makosa, na ku-quote ni makosa pia
Swali zuriKwani kuna uvumi gani unaenezwa? Kwanini vyanzo Rasmi visijitokeze na kuukanusha huo uvumi?